meWewe me? Ke?
Huyo ni ekspansheni jointi. Mpeleke Tibiei!
mke mkuuhataki kuwa karibu na wazazi coz kuna baadhi ya wazaz ni vichomi na hapendi kukwalizana nao ndo maana anataka muwe mbal ili kuepuka matatzo mengne
huendi kuna mambo yake binafs hataki yajulikane kwa wazazi na pia huenda anataka uhuru zaid wa kufanya mambo yake bila kuangaliwa na mtu
yote ni majibu lakin inategemea huyo ni mke au mpenzi???
chunguza haya matukiomke mkuu
Really my wifeSawa mke ni mpenzi wako, lakini hapa ulitakiwa useme kuwa "mke wangu" ili uelewe mapema. Naona huyu si mkeo
1- Hua anasaidiachunguza haya matukio
1.akienda kwenu huwa hali gani ya mwonekano katika kushiriki kaz na majukumu kama ukweni kwake.
2.kwenda kwenu huwa anakukumbusha au mpkk mvutane kwenda au huwa anawazungumzia wazaz wako kama hazungumzi kabsa ujue kuna kitu
3.alishawai kupeleka ata zawad kwenu yoyte
4.wazaz wako huwa wanazunguziaje huyo mkeoo
5.pia chunguza huendi wazaz wako ni vichomi yaan wana sheria nyingi au ni waongeaji sanaa hili nalo ni tatźo
tafakar hayo
Mmh. Huwa nashangaa sana inamaana umetafuta nyumba pasi kumshirikisha mkeo. Mi najua mkiwa wanandoa yaliyo mengi ni lazima mshirikishane na kila mmoja aridhie sasa nashindwa hata kukushangaa.
Na pia kwani ni lazima ukae karibu na wazazi wako kama hujalipa kodi tafuta sehemu nyingine sababu huyo ni mkeo na ataendelea kuwa mkeo ikiwa jambo halitaki huenda akawa na sababu yake ambayo huenda ikawa na manufaa kwa ndoa yenu kuliko kulazimisha.
Kumpiga na chini sio suluhisho.
NICE ONE HAHAHAHANenda kwako/kwake mpe dawa za usingizi. Akisinzia mbebe begani, peleka hadi unapoishi. Akiamka anajikuta by default yupo alipokataa kuja. Game over!!
Kuna tofauti gani yaani MPENZI ni wa UZINZI na Mke je ?Mara mpenzi Mara mke, utoto bana.
Nikuulize ulishauriana naye wakati unaitafuta hiyo nyumba?Ni nyumba ambayo inajitegemea yaani kila mtu kivyake