Mpenzi wangu JAMES BOND, naumia Kwa kufa kwako, nilikupenda tangu utotoni

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Mara Paaap nafungua Instagram naambiwa James Bond Amekufa🙆

Uuuuwi jamaani kwanini umekufa weweee
Mwanzilishi wa Sinema za James abond Duniani na Owner WA Copy Right ya James Bond Movies, Dead and Gone today😭

Pumzika Kwa amani ya Bwana na Mimi nitaendelea kukupenda kama Money Penny

Mara Paaap nafungua Instagram naambiwa James Bond Amekufa🙆

Uuuuwi jamaan kwanini umekufa weweee
Mwanzilishi wa Sinema za James abond Duniani na Owner WA Copy Right ya James Bond Movies, Dead and Gone today😭

Pumzika Kwa amani ya Bwana na Mimi nitaendelea kukupenda kama Money Penny

My favourite James Bond 007 mwache akapumzike amekula chumvi nyingi amefariki akiwa na miaka 90 si haba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…