Mpenzi wangu huvulia kufuli kwenye shuka, tatizo ni nini?

Binafsi namshukuru Mungu kwa kunipa pumzi natumai pia ninyi ni wazima wa afya..... nina mpenzi wangu nina miezi karibia 5 ila tunapokuwa chumbani huvulia nguo (kufuli) kwenye shuka sijui tatizo ni nini nikiuliza naambiwa sipendi2 kuchunguliwa mpaka nawaza labda kakeketwa?!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkiwa mnagegedana huwa hauioni au?
 
Back
Top Bottom