vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
mwenzio anajua ufanisi mchezoni magoli siyo vyenga. Kwa hiyo huwa unapiga vyenga magoli wafungwakumbe wenzangu mnahesabu magoli!!!
Mie nikipiga moja la awali,nikipanda tena nasugua weeee bila kukojoa hata siku nzima.
Kwa masuala ya kuhesabu mikojo mie sina
Nipe namba zake,atakuja kukusimulia akiwa amebeba chupi kwa kichwa chake
Kuna watu tunawaona hamnenepi tunafikiri ndio maumbile yenu kumbe mna mengi...
Hahahahahahahha kumbe watu wembamba ni wa kuwaogopa eeh?
PTER hii ni uongo ambao haujakidhi vigezo tusidanganyane hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kufanya ngono kwa dk 240 non stop hata wale wa phonerotica hawana ubavu huo
ndio nini hilo?
makolola
Nina uhakika uko under 30, iko hivi kuna baadhi ya wanawake ngono ndio hobby yao kwahiyo zaidi ya kumuandaa hakikisha round ya kwanza haipungui 30mnts na kila unapokaribia kumaliza chomoa kisha vuta pumzi tatu ndefu kuondoa carbon kwenye mapafu kisha rudi chimbo na unapomaliza round ya kwanza nyweshea nje ya kibubu..!kwa njia hii mnyama hatodhoofika ila hakikisha umeshiba
Usiseme hivyo watu wanakesha mkuu acha bwana, unajua tunatofautiana kwa mfano ukiambiwa ukimbie km 1 kwa dk 1 unaweza kusema hakuna binadamu anaweza kumbe wapo wengi tu wanaweza
Sometimes I don't have to satisfy anybody but myself unashindana na lishimo halafu anayepiga kelele mwingine halafu anaweza kukupagawisha kwa miguno ukadhani umempa dozi kali kumbe wizi mtupu
So kwanini nijichoshe?