Mdau Makin
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 767
- 207
Nyie ndio mlioleta ukabila Tff nini?
Jitahidi masaa matatu kabla ya kumgonga huwe umetafuna MIZIZI YA MWAROBAINI bila kushushia na kinywaji chochote.
Mkuu Kizzy Wizzy njoo labda unaufahamu wa hili tatizo
anakariri hapa hapahahahahahahahaha.....du!..anaandika lakini?
Mkuu sio kama ana mzuka, the fact ni kwamba aliyekeketwa ni ngumu sana kufika kileleni, so kiu yake haikatiki kirahisi, ye anakuwa na anataka mfululizo tu.mkuu walokeketwa ndio wana mzuka huo?
Mkuu sio kama ana mzuka, the fact ni kwamba aliyekeketwa ni ngumu sana kufika kileleni, so kiu yake haikatiki kirahisi, ye anakuwa na anataka mfululizo tu.
Huyu binti nimekuwa nikimundaa vizuri tu wakati wa tendo mpaka anapizi kabla hata sijaanza kazi, cha kuashangaza kila mimi nikifika yeye anakuwa bado anahitaji tu juzi nimepiga kama goli nne gesti kwa kama masaa sita lakini yeye bado anataka tu namwambia hapana anaanza kulia na anataka.
Ikafikia mahali nikaishiwa nguvu mpaka naenda uwani miguu haina nguvu napepesuka kurudi namkuta kajibinua miguu imegusa ukuta anataka niendelee, kwa kweli nimeingia kwa tabu tabu nadhani nilipizi upepo na ikabidi nilazimishe tuondoke ingawa alikuwa bado anataka nipumzike kidogo alafu tuendelee tena.
Kwa kweli huyu ni mwanamke wa kwanza nakutana nae ambaye ni king'ang'anizi wa kusuguliwa nifanyeje ili niweze kumudu maana mashine yake inavuta fresh na yuko bomba, ila huwa najifikiria mara mbili mbili kabla ya kukutana nae walau niwe nimekula nyama au supu ila bado anatoka mwenye kuhitaji.
Nimfanyeje ili niweze kummudu?
Mlie virona 5 vya konyagi kama unapitiaga hz mambo! Au lah gonga asprin 3 then pumzika nusu SAA hatimaye uanze gemu lzma ataomba poo tu.
hahah i wish ninge`reply comment ako hata kwa PM but coz u just nailed it.. tuachie hapoKilele chenu nyie msioridhika ni kuwashughulikia mpaka msquirt tu ukitaka tena game na hapo nyie mtakua majinuni tu
Kwan tff ndo wanaukabila,,? ama kweli nyani haoni kundule,Na Yule bwana Saidi aliyekuwa anateua RPC kabila moja. au huyo hana ukabila.?
Changia mada acha kuruka ruka kwa mambo ya ajabu.
Mkuu hii si dawa ya maralia kweli hii..?
Cha msingi hapo ni amwandae vizuri na ahakikishe anapiga mazoezi ya kutosha ili awe na pumzi kubwa ya kuweza kummudu huyu bidada.
All in all kama atamshindwa tafute wataalam wam-support.
Analyse nafkiri utakuwa mmoja wa wataalam wa maswala kama haya, unakumbuka ule uzi wako wa kutaka kusaidia wanaume ambao wako bize na kushindwa kuwatimizia haja zao wake zao....? ivi iliishia wapi..?
Kuna watu tunawaona hamnenepi tunafikiri ndio maumbile yenu kumbe mna mengi...