Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

Aisee akitoka kwako lazima apite kwa yule muuza chips pale ndo atatuliza mzigo
 
Khaaaaa masaa sita? mi ningesepa bila kuaga, hiyo sio starehe tena
 
By applying Kagera Technology, this dames' sexual lust could be quenched definitely! Try it and you'll not be disappointed.
 


ahahahahahaaaa.
Usiwe na papara
kuwa fundi kama xavi,
usiwe na papara kama hazard utachoka haraka
usiwe na uchu wa kufunga magoli kama ronaldo
jua kunyumbulika kama iniesta
usikate tamaa mapema kama rooney
usicheze kwa vurugu kama vidal au gatuso kuwa na stamina kama pogba
funga magoli ya ufundi na uhakika kama ibrahimovic
cheza faulo kwa ufundi kama pirlo, usiteleze teleze uwanjani kama gerard
cheza kwa malengo ya ushindi kama messi
usipende kupaki bus kama mourinho(romance na chumvini)
funga magoli ya vichwa kama varane.
Mwisho tembea na chaki kijana kama arjen roben
 

Hapo kwenye red mshana jr huwa nashindwaga kabisaa
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye red mshana jr huwa nashindwaga kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha njoo rahatupu sniper na wadau wenzangu tukusaidie ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…