mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Na kweli bora ukubali tu usije ukapata ugonjwa wa moyo
km we ni binti ni kawaida maana kumfuatilia mwanaume haifai kwa kuwa yeye ni mtafutaji na mishe zake zinampa oppirtunity nyingine kimaisha. ila km ww ni mwanaume harafu demu wako hataki umfuatilie hapo kuna tatizo labda kama kakuoa! za kuambiwa changanya na zako!
Me Mwanaume, Atakua Na Nn
Jamani nishaurini.
Nina mpenzi wangu nampenda sana Juzi kaniambia kuwa yeye hapendi nimfuatilie.Yaani kaenda wapi, yupo na nani, karudi Saa ngapi e.t.c. Sijamwelewa But imebidi nikubali kwakua nampenda.
Lakini mimi ninavyoelewa ni kwamba mtu ambaye mwaminifu hawezi ogopa kuulizwa alikuwa wapi.
Nifanyeje. Mimi mwanaume.
mpe mda uone kwa nini anasema hivyo.. yawezekana wewe ni wale wanaume kila dakika unapiga simu na kumbana mtu... ndiyo mapenzi yapo lakini uhuru wa mtu binafsi ni muhimu pia... tatizo wengi tunajisahahu tukisha kuwa wapenzi mnahisi kuwa hakuna maisha mengine zaidi ya mapenzi which is wrong.... ndiyo maana huwa mapenzi yanaboa sometimes.
Na kweli bora ukubali tu usije ukapata ugonjwa wa moyo
Tena huyo ni "experienced one" yaani toka nduki we kimbia, kimbia fasta ..toka nduki we kimbia.Pole,be a man,jipange chukua hatua,ukiona manyoya ujue keshaliwa huyo,japo inaumiza.
mtu mwaminifu hawezi kukukata usijue baadhi ya nyendo zake, hii ndo sawa sawa na kuwa na mpenzi ambaye simu zake na computer kajaza nywila mwanzo mwisho kisha unaendelea kujiaminisha "i am the only one" , karagha baho...Lakn Ana Uaminifu Huyu Kwel
Lakini vikwazo alivyo viweka mleta mada , hakika kuna kivuli kina tembea na huyo demu, jamaa amchunguze vema waweza kuta ni retired officer wa maeneo yetu yale ya kukesha mpaka kuchee.(though not necessary to be so, and i am standing to be corrected in my tentative"mpe mda uone kwa nini anasema hivyo.. yawezekana wewe ni wale wanaume kila dakika unapiga simu na kumbana mtu... ndiyo mapenzi yapo lakini uhuru wa mtu binafsi ni muhimu pia... tatizo wengi tunajisahahu tukisha kuwa wapenzi mnahisi kuwa hakuna maisha mengine zaidi ya mapenzi which is wrong.... ndiyo maana huwa mapenzi yanaboa sometimes.
Aisee broo huyo hakufai hakuna mwanamke anayefaa kuwa mke akakwambie usimfatilie. labda cjui unamfuatiliaje... ila fanya usimfuatilie ile laiv muache na mambo yake fanya uchunguzi ule wa kimyakimya ukigundua kuna vitu anavifanya na havifai hupaswi kulazimisha mapenzi... tembea zako kwani umeshafunga ndoa?
Kuna Wakat Inapta 5 Days Hatujacomunicate
Kuna Wakat Inapta 5 Days Hatujacomunicate
Inawezekana wewe ni backup plan
Aisee broo huyo hakufai hakuna mwanamke anayefaa kuwa mke akakwambie usimfatilie. labda cjui unamfuatiliaje... ila fanya usimfuatilie ile laiv muache na mambo yake fanya uchunguzi ule wa kimyakimya ukigundua kuna vitu anavifanya na havifai hupaswi kulazimisha mapenzi... tembea zako kwani umeshafunga ndoa?
Ni Kwel Usemayo Bt Mm Hua Nakuaga Kmya Sometimes, Then Nimegundua Ana Line Nyngne Ambayo Mm Cna No Na Anaitumia Je Hapo Vp