Mpenzi wangu hapati raha ya tendo la ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpenzi wangu hapati raha ya tendo la ndoa

Discussion in 'JF Doctor' started by Yusufu, Nov 22, 2011.

 1. Y

  Yusufu Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wadau naomba msaada wenu, ninae mpenzi wangu msichana tangu nimeanza kuwa nae kama miaka miwili sasa amekuwa akilalamika kwamba hapati raha ya mapenzi kabisa, sana sana anasikia maumivu tu. Kwa kuwa ninategemea kumuoa na siridhiki na hali hiyo nimeamua kutafuta solution ya tatizo hili. Hivyo yeyote mwenye ushauri au anaejua mtaalam na contact zake au hospital ambayo kuna mtaalam wa uhakika basi naomba msaada wenu.

  Asanteni sana.
   
 2. S

  Sangari Senior Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 172
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sasa miaka yote 2 umekaa nae akiwa na hilo tatizo na hujachukua hatua yoyote ya kumpeleka hospital huoni unazidi kumuuza tu. Au unasubiri afe ndo utajua alikuwa anaumia? Chukua hatua sasa kumsaidia.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Pata Asali jipake wewe kwenye huo Uume wako bila ya yeye kujuwa kisha Muingilie kwa taratibu atapata raha sana kiasi hato kuacha wewe lakini fanya hii Dawa kwa siri usije ukamwambia. Fanya hii dawa kila unapokutana nae kwenye mapenzi yenu tumia hii Dawa kisha unipe Feedback chanzo : P.h.D. MziziKavu
   
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ongeza swaga a.k.a mautundu before the action on the match it can solve or minimize your problems.
   
 5. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu kuna mambo mawili hapa ambayo ninayaona:

  1. Inawezekana mtwangio wako ni mkubwa kupita saizi inayomfaa my wife wako na kwa kuwa bado hajauzoea ndo maana inamletea shida na kusikia maumivu hayo, lakini inanipa shida hasa ninaposikia una miaka 2 nae, so siipi nguvu hii sababu

  2 sababu ya pili ambayo naipa nguvu inawezekana wewe ni mtu wa kukulupuka wakati wa yale mambo yetu... yaani ukichojolewa nguo tu unatafuta wapi kinu utwange... kiufupi hufanyi maandalizi ya kutosha kwa mwenzio.. Tulia anza na romance za kawaida, kissess na hata touches za yale maeneo yake kuongeza mihemko, hakikisha kabla hujaenda huko umespend hata nusu saa kwa initial preparations.. na hasa mpaka umwone mwenzio yupo wet namna flan huko kunako...hapo inamaana ndo upo tayari kupokelewa, unapoingia usianze kwa spidi 200, anza taratibu wakati kinu kinasikilizia mshindo wa mtwangia na kadri mda unavyoenda huku ukimsoma mwenzia jinsi anavojisikia toka usoni, ongeza kasi kufikia super sonic speed... Hakya nani nakwambia atakuwa anakuganda sana tu na baada ya mda fulani muulize vipi yale maumivu? ataishia kucheka tu
   
 6. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Tafadhali ni PM nikupe njia ya kumsaidia.
   
 7. Y

  Yusufu Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kakaokoa jahazi.
   
 8. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  YAWEZEKANA ALISHAPATA PID (PELVIC INFECTION DISEASES)... kwa msaada zaidi muone dokta mwaka. anapatikana ilala bungoni (kama upo dsm). ni mtaalam wa magonjwa ya wanawake, au mpigie kwa 0718 603037
   
 9. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  mlete kwangu nikae nae wiki moja tu, kisha uje mchukue, utafurahi mwenyewe.
   
 10. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuwa mvumilivu wewe mlete kwangu nimpe mambo kama tatizo litakuwa hilo then baadae nakupa hizo mbinu sasa
   
Loading...