nyanda mhangwa
Member
- Apr 6, 2016
- 33
- 5
Hehehehe, wacha ukuda wewe.Last Activity: 1 minute ago
Joined: Wednesday
Messages: 3
Likes Received: 0
Trophy Points: 1
Birthday: Jan 1, 1970 (Age: 46)
Wana bodi mm ni kijana 30yrs o'levels 2008, leo hii nimmachnga, nilibahatika pata mchumba 2014, yy ana degree ya uhasibu. Mahusiano yetu yamedumu kuanzia 2014 hadi 2016February, maana yy kwa sasa nimuajiliwa serikalini, tumegombana na sababu yenyewe yy sikumpata kwenye simu siku moja baada ya yy kwenda course dar. Mwanzoni tulikuwa tunawasilana vizuri tuu baada ya mwezi mmoja, mwenzagu latiba zikawa nyingi mara atoke aende sinza usiku SAA6 kutafuta chakula , kwasababu tulikuwa tunawasilana mm sikuwa na shida na hilo, cku moja kuanzia saa4 hadi saa 3asubuhi kesho yake simu ndo zinapatikana, kwasababu mm sijazoea ile hali nilchanganyikia nilimtukana sana maana nilihisi ameshaanza cheetin, sababu alizotoa ni kwamba simu zote mbili hazikuwa na chaji, hapohapo usiku niliangakia last seen yake inaonesha alikuwa online saa8:43usiku mm nilishindwa kuelewa, nikamtaka asinitafute hadi anipe sababu za kuridhisha, kwa sababu hiyo course inachukua miezi4 tumekaa miezi 2 bila mawasiliano mwishoni nnatumiwa sms kuwa amechoka kusubiri hasila zangu ziishe ndipo alipo nitaka kila mutu afanye maisha yake. Nkakaa kmya!! Mwishoni sasa hapa kwa sababu nimeona soln hakuna mm nilimtafuta ili yaishe, lakn alicho niambia hataki kuwa na mm na kwa sasa yupo kwenye uhusiano mwingine hataki kusikia kuhusu mm. Nmemuomba anisamehe hataki. Nnalia sana maana nilisha muzoea sana na nnamtoto nae mmoja ana miezi 5, wakati yupo kozi alimuachisha ziwa ili awe ana muda mzuri wa kusoma akampeleka kwa bb ake huko dar. Nipo hapa kuomba maoni yenu maana mm adi sasa cjui cha kufanya, umefanya hivyo kwa sababu cjamtafuta 2months yy amaamua kufanya maisha mengine
siyo ukuda bana...Hehehehe, wacha ukuda wewe.
Wa ngw'anza!!!Nyanda ule nsukuma ohe ubhebhe?
Ngw'anza halee??Wa ngw'anza!!!
Hasira hasara sawa, lakini sasa maamzi yake ya kuingia kwenye uhusiano mpya yananichanganya. Kwa nn haraka hivyo ameamua kuweka wazi?Hasira hasaraaaaa....ona sasa!
KilimahewaNgw'anza halee??
Sasa kama ni mpenzi wako hakutaki vipi tena??Wana bodi,
Mimi ni kijana 30yrs o'levels 2008, leo hii nimmachinga, nilibahatika pata mchumba 2014, yeye ana degree ya uhasibu. Mahusiano yetu yamedumu kuanzia 2014 hadi 2016February, maana yeye kwa sasa nimuajiliwa serikalini, tumegombana na sababu yenyewe yeye sikumpata kwenye simu siku moja baada ya yeye kwenda course Dar.
Mwanzoni tulikuwa tunawasilana vizuri tu baada ya mwezi mmoja, mwenzagu latiba zikawa nyingi mara atoke aende sinza usiku SAA6 kutafuta chakula, kwasababu tulikuwa tunawasilana mimi sikuwa na shida na hilo, Siku moja kuanzia saa4 hadi saa 3asubuhi kesho yake simu ndio zinapatikana, kwasababu mimi sijazoea ile hali nilchanganyikia nilimtukana sana maana nilihisi ameshaanza cheeting, sababu alizotoa ni kwamba simu zote mbili hazikuwa na chaji, hapohapo usiku niliangakia last seen yake inaonesha alikuwa online saa8:43usiku mimi nilishindwa kuelewa, nikamtaka asinitafute hadi anipe sababu za kuridhisha, kwasababu hiyo course inachukua miezi4 tumekaa miezi 2 bila mawasiliano mwishoni nnatumiwa sms kuwa amechoka kusubiri hasila zangu ziishe ndipo alipo nitaka kila mutu afanye maisha yake.
Nikakaa kmya! Mwishoni sasa hapa kwasababu nimeona soln hakuna mimi nilimtafuta ili yaishe, lakini alichoniambia hataki kuwa na mimi na kwa sasa yupo kwenye uhusiano mwingine hataki kusikia kuhusu mimi. Nimemuomba anisamehe hataki. Ninalia sana maana nilishamzoea sana na ninamtoto nae mmoja ana miezi 5, wakati yupo kozi alimuachisha ziwa ili awe ana muda mzuri wa kusoma akampeleka kwasababu yake huko Dar. Nipo hapa kuomba maoni yenu maana mimi hadi sasa sijui cha kufanya, umefanya hivyo kwasababu sijamtafuta 2months yeye amaamua kufanya maisha mengine.
Fafanua usemi wako sijakuelewa"Ukichimba kisima ili watu wapate maji na wewe utapata, lakini ukichimba kisima ili ufukie watu kumbuka utafukiwa na wewe lasivyo uhame mtaa."
Hataki kwa sababu nilikaa kmya kwa miezi 2 bila kumtafuta, ww akawa amekata shauri la kuachana na ametafuta huko huko mwanaume mwingine bila kutafuta soln ya tatizo.Sasa kama ni mpenzi wako hakutaki vipi tena??
Hahaha...... Naona umemshika nyoro.Last Activity: 1 minute ago
Joined: Wednesday
Messages: 3
Likes Received: 0
Trophy Points: 1
Birthday: Jan 1, 1970 (Age: 46)