Mpenzi wangu hanijibu

Una mke, una mke mdogo, una mchepuko, kipato kwa siku 2500 halafu una mke mdogo anadaiwa kodi ya 600k na mchepuko anataka pc ya 1m kisha unamiliki viwanja 7
Mtoa mada utakua umevuta bangi kisha ukaingia JF ukaandika uzi waenye mawazo ya kibange bange
 
Mademu watatu tu unalialia mkuu,halafu Kila siku unaomba Mungu akutendee kama mfalme sulemani?Acha upuuzi kaza matako wanaume tutapumzika tukifa.
 
Sasa wanawake wote hao wa Nini? Inakuwa kama upo kwenye mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…