Mpenzi wangu hajawahi kuniomba hela

Kwanini akuombe wakati amekuzidi kipato!
 
Mimi nikikaa bila kuomba hela kwa mwanaume wangu sijiskii raha....usipomuomba hela mpenz wako au kumpa ujue kuna mtu anakusadia kumpa au anaemuomba
 
ha ha hahaha unataka kuombwa kuna warembo wanabahati yani mpenziwe anataka amuombe hela.. miss mie ningekuja na kautaratibu kabisa kila siku unajua unatakiwa kutoa shilingi ngapi
 
ha ha hahaha unataka kuombwa kuna warembo wanabahati yani mpenziwe anataka amuombe hela.. miss mie ningekuja na kautaratibu kabisa kila siku unajua unatakiwa kutoa shilingi ngapi

Ahahahaha Miss Bwana, Mi Huwa Unachekeshaga Sana Ujue, Sijui Unachokiandika Hum Ndio Uhalisia Wa Maisha Yako Au Ni Usumbufu Tu, Mdomoni.
 
mie navyopenda hela siku mbili tu nishakupiga kizinga.
 
Ahahahaha Miss Bwana, Mi Huwa Unachekeshaga Sana Ujue, Sijui Unachokiandika Hum Ndio Uhalisia Wa Maisha Yako Au Ni Usumbufu Tu, Mdomoni.
ndiyo hivyo mkuu.. yani duh warembo wenye bahat zao
 
Well said....
 
inaezekana hakuombi hela kwa sababu anajiweza au ana kuhurumia au kuna mtu anampa hela nyingi sana. kwa hiyo jaribu kuchunguza sana ili ujue sababu ya kutokukuomba hela.

Pia kwa upande mwingine kama hakuombi hela si ndo mzuka sasa sa we unataka nini tena??? akikuomba hela utasikia maneno mengi sana oohh uyu demu anapenda mara mpigaji....
 
Binadamu hamsoki mademu zenu wakiwaomba hela mnalalamika wasipowaomba hela mnalalamika....sasa tufuate lip?????
 
Subiri tu muda ukifika atakuomba tu , sasa hivi anawaomba wengine.
Hamna namna lazima akuweke vizuri kwanza.
 
Uyo Oa Kabisa, Uenda Akawa Haombi Hata Hela Ya Mboga.
 
Hahaha umenikumbusha mbali sana, mwanaume usione huombwi hela ukafurahia Sana kuna mahali anaomba randomly.
 
Kweli hili nalo jambo la kukurupusha alfajiri yote huku. Kwa hiyo unaomba kufanywa buzi.... Kweli wavulana mna yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…