masengobangu
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 125
- 131
Huu ujeuri hauna kiwango [emoji51][emoji51][emoji51]Wanawake wengine jeuri kweli
sasa mda wote huo hataki kwenda kileleni anataka kwenda wapi ?
huyo jamaa nae kama alibahatisha tu kwani walikaa kwenye mahusiano mwaka mmoja na alifanikiwa hiyo mara moja ,na ndiyo sababu ya kumwaganaMwambie akuunganishe na jamaa aliemfikisha kileleni akupe mbinu aliyotumia kumfikisha kileleni.
Mbaya tu akikwambia jamaa sasaivi ni hayati.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa maelezo yake mm ni mwanaume wake wa tano...huyo jamaa walidumu kwenye mahusiano kama mwaka mmoja tuPole sana,muulize huyo mpenzi wako,huyo jamaa aliyemfikisha kileleni alimla marangapi?na je aliliwa na wangapi kabla yako mpaka akafikishwa kilele Mara moja tu?
huyo jamaa nae kama alibahatisha tu kwani walikaa kwenye mahusiano mwaka mmoja na alifanikiwa hiyo mara moja ,na ndiyo sababu ya kumwagana
ππππmkuu kaulize kwa jamaa alie mfikisha alitumia njia gan la sivo umu utajiangaisha tu
ππππUna hatari ya kutafuniwa mzigo na aliyemfikisha..
Lakini kwenye kikao cha wanaume tulishasema kwenye sheria no 17 kipengele b
"You don't owe any woman organism kila mtu apambane kutafuta kilele chake"
Kama wewe unapataa vilele vi 3 yeye kwanini akose? Inabidi ajitafakari akishindwa aridhike hivyo hivyo akishindwa kabisa aondoke tu
Sent using Jamii Forums mobile app