Huwashwa sana sehemu za chini, alishaenda kupimwa hakukutwa na ugonjwa wowote, hii humtokea mara moja moja saana, ila hanuki hata kidogo. na nimsafi sana wa huko chini, ila akiwa katika hali hiyo akisha pata bao kunanyamaza kuwasha. jee hii ni kawaida kwa wanawake woote?

Test ya magonjwa yoote ya zinaa, akachukuliwa damu, infact ilikuwa genaral checking. Mpaka HIV
Hana. Na watakuwa wa aina gani wasioonekana kwenye vipimo. Labda kama walivyoshauri wengine labda ni kuwashwa kwa nyege. I dont know