Hamud Nassor
Member
- Jul 9, 2013
- 18
- 0
Mtafutie Sub , tafuta demu mwingine spend most of ur time with huyo mwingine.
Ukitaka kuacha lolote tafuta sub ya kukireplace muda wa kumuwaza utumie ku date na demu mwingine, Wazi !?
Ukiona bado unampenda pamoja na vituko vyake ujue ndo umefika hapo wala huhitaji ushauri!! Utasikilizaje ushauri wakati umependa?? Sikiliza moyo wako bana
Anza kwa kufuta namba yake sasa hivi, na uitoe kichwani rudia hobby yako uliyokuwa nayo kabla ya yeye kuwa kimaliza mda wako.i mean nataka anitoke moyon mwangu maana naumia kila siku
Anza kwa kufuta namba yake sasa hivi, na uitoe kichwani rudia hobby yako uliyokuwa nayo kabla ya yeye kuwa kimaliza mda wako.
Hamud Nassor
Mtafutie Sub , tafuta demu mwingine spend most of ur time with huyo mwingine.
Ukitaka kuacha lolote tafuta sub ya kukireplace muda wa kumuwaza utumie ku date na demu mwingine, Wazi !?