Mpenzi wangu anaumwa na tumbo

Golden Trust

Member
Joined
Jan 21, 2023
Posts
51
Reaction score
95
Habari zenu wanajamii forums

Naombeni msaada wa mawazo,,mpenzi wangu anaumwa na tumbo kama kati kati ya kitovu na anapopitisha chakula chochote katika mwili wake, anatapika na kuharisha.
 
Habari zenu wanajamii forums

Naombeni msaada wa mawazo,,mpenzi wangu anaumwa na tumbo kama kati kati ya kitovu na anapopitisha chakula chochote katika mwili wake, anatapika na kuharisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…