Mpenzi wangu anataka nifuge Rasta

Kwani yeye anakupenda wewe? au azipenda rasta.
 
Tatizo hapa sio wewe kutopenda dredi au kuhofia ukoo wenu!!!
Tatizo ni wewe kulazimishwa kufanana na ex-boyfriend!! Hili ndo la kuogofya!!

 
Umeponya majeraha lakini makovu yamebaki
Inatakiwa ufuge rasta hili makovu yapotee

otherwise atatafuta beach boy (mfuga rasta):cool2:
 
Rasta nakumbuka kama zinahusishwa na beach boy, marijuan na sex tourism kwa maeneo ya mwambao! Sijui sana mtanisaidia… makolola utachagua moja
Na ukishafuga ujiandae akuambie uvute na bangi kabisa..hivi mnawapataga wapi mademu wa hivyo..!em piga chini hicho kiumbe ama lah aende jamaica uko..,
 
Last edited by a moderator:
achana nae mapema sana kwa sababu hata akikubali kuwa na wewe bila rasta siku akikutana na mtu mwenye rasta atampa mapenzi yake kirahisi sana kisa anakumbushia.
 
Ss wakat unamtokea calikuona ulivyo na akakubali ulivyo inakuwaje akulazimishe usuke rasta wkt hajakukuta nazo huyo hn upendo wa kweli na simama ktk mstar wako
 

Kama mtu hawezi kuish na kukupenda ulivyo huyo hajakupenda,,,,

Kwani demu wako mzungu??:what:
 
Mkuu mimi nakushauri anza kuvuta bangi na kuimba reggae hizo rasta zitakuja automatic na hapo utapendwa kam ex BF wake

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

She should love you for who you are, the lowest call in life is to get into a relationship expecting to change someone instead of you being ready to change to accept someone
 
mmh jaman ww na huyo demu wote hamjielewi.kumbe unataka kufuga rasta ili ufanane na ex wake ila unaogopa ukoo wenu.cku hizi wanaume wachache sana wengi ni juvenile
 
Usifanye chochote kile ambacho wewe mwenyewe hukipendi ili kumridhisha mtu mwingine hata kama ni MUPENZI.

Zaid ukiyafuga afu bd akubwage jeeee? Km kakupenda kwel czn km atakuletea huo upuuz ciz angeridhika naw hvo ulivooo nahc anakutumia kumaliza machungu yakeee .... dem chiz kwel em mchunguze lbd ht n anavuta bang jmn eeeeh

Makubwaaaa
 
Zaid ukiyafuga afu bd akubwage jeeee? Km kakupenda kwel czn km atakuletea huo upuuz ciz angeridhika naw hvo ulivooo nahc anakutumia kumaliza machungu yakeee .... dem chiz kwel em mchunguze lbd ht n anavuta bang jmn eeeeh

Makubwaaaa
Samahani mkuu ungerekebisha muandiko kidogo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…