Mpenzi wangu anataka ndoa haraka

huyo ni mshenzi mmoja tuu mkuu anasema vishawishi ni vingi atakuwa anatoa huko kwa wana kaa kwa machale...kitu cha kufikiria wewe umeanza kazi miezi sita hujui hatma yako ni nini jijenge kwanza wewe na nyumbani kwenu ndo uanza kufikiria maswala ya kuoa kazi hizi za private sector huwa zinaisha sasa utaishi vipi na hukuwa na malimikizo yoyote ....kaa tulia kama jpange wee bado mdogo kuwa katika maamuzi magumu na maubwa kiasi hiko...mtu anakuona ndo kwanza umeanza kazi ''umeshaseam suala la pesa ni kikwazo'' ndugu siku ukikwama akija mwenye pesa utaandika maumivu hapo tayari ushajikamua kwa muda wa miaka miwili huna maendeleo yoyote pesa yote umemalizia kwake usikute hata mama yako hujawahi hata kumtumia pesa hata ya maziwa...wanawake wako wengi...halafu pia umesema wewe ni mtu wa rohoni angalia mzee wanawake wa siku hizi haataki watu wa namna yako kua macho na wewe mtafute wa rohoni
 
Ngoja nifanye kutizama yeye atavumilia hadi wapi,
But kama ni uhuni nimefanya sana hadi kuvaa kondom mlegezo, msemo wa Stamina

Hadi sasa nimeokoka nimeona mengi sana.

Nimekuelewa mkuu, ushauri wako.
 
 
Kijana usikimbilie kuoa kwa pressure kutoka upande fulani tambua ndoa ni taasisi inayojitegemea kaa chini jipange mwambie avumilie kama inakuwa ngumu mwache vishawishi vimchukue
 
Mimi napenda kuuliza umri sahihi wa kijana wa kiume kuingia kwenye ndoa Ni upi??
 
Amka usingizini na usilale tena hata usiku utapokwisha, kuna mtego unataka upigwe dabo dabo uingizwe kingi kabla akili haijakurudi.... eti mmeanza rasmi mwezi uliopita tu leo unapelekeshwa kama nyumbu.
 
Hilo nalo neno kweli.[emoji848]
Amka usingizini na usilale tena hata usiku utapokwisha, kuna mtego unataka upigwe dabo dabo uingizwe kingi kabla akili haijakurudi.... eti mmeanza rasmi mwezi uliopita tu leo unapelekeshwa kama nyumbu.
 
[emoji120]
 
Akitoa lawama anakuwwa hajui maisha huyo,ndio unamrudisha kwao ili ujipange,wakati huo ana kitumbo au umeshamzalisha kabisa.atanyooka tu wala asikubabaishe.
Ni kweli mkuu, shida ni pale atakapokua anatoa lawama za ndani ya nyumba, nitajificha wap mm...[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Tatizo huruma wengine zipo juu...
Akitoa lawama anakuwwa hajui maisha huyo,ndio unamrudisha kwao ili ujipange,wakati huo ana kitumbo au umeshamzalisha kabisa.atanyooka tu wala asikubabaishe.
 
Kwenye huu mwezi lazima nifanye maamuzi, sina namna lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…