Mpenzi wangu anapenda sana kunispy kwa maex zake

Strong

JF-Expert Member
Jun 9, 2013
514
450
Wakuu habari ya leo
Mwenzenu yamenikuta nina mpenzi hatuishi pamoja ila yeye aliko anakaa karibu na mabinti wawili aliowahi kudate nao

Mimi ni mwanamke ninachoshangaa vitu vingi vinavyotuhusu mm na yy wale mabinti kila mmoja kwa wakati wake anavijua but namwambia anasema yeye hajawaambia ila wanafahamiana na mdogo wake

Nampenda sana nipeni ushauri nifanyeje jamani
 
Nahisi bado anawatafuna hao mabinti hajaachana nao. Sikushauri uachane nae ila piga mkwara heavy aachane nao haraka sana na pia piga mkwara hao mabinti. Mtu umependa pigania penzi lako wala usikimbie hiyo vita utampa ushindi adui
 
Huyo ni mtoto akikua atayaacha, ila wewe kipindi hicho utakua umeshazeeka hatakuitaji tena.
 
Wakuu habari ya leo mwenzenu yamenikuta nina mpenzi hatuishi pamoja ila yy aliko anakaa karibu na mabinti wawili aliowahi kudate nao mm ni ke ninachoshangaa vitu vingi vinavyotuhusu mm na yy wale mabinti kila mmoja kwa wakati wake anavijua bt namwambia anasema yy hajawaambia ila wanafahamiana na mdogo wake nampenda sana nipeni ushauri nifanyeje jamani
 

Attachments

  • FB_IMG_1492429303904.jpg
    FB_IMG_1492429303904.jpg
    36.7 KB · Views: 25
Punguza presha nionavyo hao wasichana wanapewa hizo stori na huyo mdogo wake sasa mwambie huyo mtu wako asiwe anamuhadithia stori zako.
 
Achana nae

piga chini huyo

Huyo ni mtoto akikua atayaacha, ila wewe kipindi hicho utakua umeshazeeka hatakuitaji tena.

Mbona huendani na jina lako?? Be Strong..Jikaze ikiwezekana piga chini

Acha kudate na vitoto..Tafuta real men. Dont do that
kwa hiyo huu ndio ushauri ulio baki jf.
yaan kila tatzo, watu simply

pgaa chiniiiii, duuh!!
 
Back
Top Bottom