Yani katika vitu vyooooote vyote,mtu anakupenda kwa kuvuta sigara..Mi hizi sifa kama hizi siwezi kuzipokeaEndelea tu kuvuta.....
Si ndicho wanachokupendea??
Guys niko serous, I really need ur advice!!!
Ndugu, Asante kwa ushauri, kumbuka kabla hajashika ujauzito nilikua na agenda ya kuacha sigara, ila alilia siku nzima!! Mwanzo wa ujauzito wake, nlifurai kwani nlikua na uhakika hatapenda harufu ya sigara, nikaona ni Muda muafaka wa kuacha, ila chakushangaza, kuna siku kaniamsha usiku wa manane, akiniomba niwashe sigara,, lakini nilikuwa mbishi kufanya hivyo, ila ikanilazimu.Ngoja basi nikupe ushauri.
Huyo bibi hakupendi kwa uvutaji wako bali anakupenda kwa michakachuo yako kitandani, na hali yake ya ujaauzito.
Mwanzoni alifikiria kuwa kama atakusifia na sigara unazozipenda basi utampenda zaidi, lakini alipopata ujaauzito ameizoea hiyo harufu ya sigara.
Sasa hivi mwambie wewe unapenda sana kula chocolate bars (au kitu chochote kile anachokipenda wakati huu akiwa mjaa mzito). Mwambie kuwa siku hizi sigara wala hazikuvutii sana na unamhitaji yeye akuelekeze kwenye kitu kitakachomifanya muwe pamoja.
Akikubali basi huyu mama atayeyuka kama barafu - anajaribu kukupendeza wewe tu ili umpe mahaba anayoyapata kwako - pengine sigara haina uhusiano wowote ule na mahaba haya. Akikubali hiyo ladha nyingine basi tatizo litakuwa limekwisha. Lakini akisisitiza sigara basi endelea mpaka atakapojifungua.
Hata siku moja usimlazimishe kuvuta akiwa mjaa mzito, ni hatari kwa dogo anaekuja.
Kama akikubali usivute sasa basi, trust me, akishajifungua atakulamba vibao ukivuta tena usoni mwake.
Mdekeze mwenzio. Wengine wanapenda kula malimao, udongo wa mfinyanzi, maembe mabichi, nk. Yeye anapenda kukudanda ukiwa unanukia nicotine.
Yataisha haya. Baki nae na umfariji kipindi hiki kigumu kwake. BE A MAN!
Ndugu, Asante kwa ushauri, kumbuka kabla hajashika ujauzito nilikua na agenda ya kuacha sigara, ila alilia siku nzima!! Mwanzo wa ujauzito wake, nlifurai kwani nlikua na uhakika hatapenda harufu ya sigara, nikaona ni Muda muafaka wa kuacha, ila chakushangaza, kuna siku kaniamsha usiku wa manane, akiniomba niwashe sigara,, lakini nilikuwa mbishi kufanya hivyo, ila ikanilazimu.
Kuna mida nikienda kazini, yuko radhi awashe sigara ifuke moshi chumbani!!!!
Najaribu njia zingine but kaniambia fegi nisiache.
Then keep on smoking, dude! We are looking forward to seeing you asking for additional advice on how to treat your lungs cancer, some days to come!
Kasema hapo udsm anachukua masters ya nini vile?Endelea tu kuvuta.....
Si ndicho wanachokupendea??