Mpenzi wangu ananipuuzia

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
273
Reaction score
252
Wadau kuna haka katabia ambako sikapendi kwa mpenzi wangu.
Mnaweza mkawa mnaongea kwenye simu, akapigiwa simu na rafiki yake akakuweka hold mpka amalize kuongea na rafiki yake
Au mnaweza mkawa mko mahali mnaongea akatokea rafiki yake au mtu anamfahamu anakuhama hapo kwako anahamia kwa hyo mtu mwingine wanaongea mpka wamalize ndio arudi kwako
 
How to make an awkward conversation less awkward in three simple steps.
1. Avoid silence.
2. Be an active listener.
3. Be polite.
4. Ponguza userious (be funny).
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
How to make an awkward conversation less awkward in three simple steps.
1. Avoid silence.
2. Be an active listener.
3. Be polite.
4. Ponguza userious (be funny).
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ongea kiswahili..
 
Simple mwambie kuwa hupendi hiyo tabia. Asipo sikia jua anajali marafiki kuliko ww.. yaan ww ni kama kitu cha ziada tu si cha muhim sana. Na hiyo ni bonge ya red flag kwenye mahusiano
 
Hapo kwenye kuwekwa hold muda wa kuongea na simu, una uhakika anakuwa rafiki yake??? We jamaaa Wanakugongea.....

Tafakari chukua hatua
 
Ukitaka kufa kwa stress anzisha mahusiano na mwanamke wa Kiafrika.
Mimi na uzao wangu tutaoa Wahindi daima.
Pole Mkuu hapo hupendwi.
 
Wewe ni me au ke?

Kama ni ke ni halali kulalamika...

Ila kama ni me, basi acha kuaibisha jinsia ya kiume kwa sredi kama hizi...
 
How to make an awkward conversation less awkward in three simple steps.
1. Avoid silence.
2. Be an active listener.
3. Be polite.
4. Ponguza userious (be funny).
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
True mkuu,.... ila madamu wengi wa Kitanzania hawanaga hobby yoyote, kila kitu anasema sawa hata kama hana ujuzi au passionate na hicho kitu au mchezo....wana bore kinoma
 
Ukitaka kufa kwa stress anzisha mahusiano na mwanamke wa Kiafrika.
Mimi na uzao wangu tutaoa Wahindi daima.
Pole Mkuu hapo hupendwi.
Mkuu acha kauli za ubaguzi mbona wahidi wengi wamesha kua waafrica na wanatabia za uswahilini kama wengine, kuna wengine huuza papuchi kwenye Kasino nyingi hapa Dar.......
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…