Kwanza karibu jamvini,
japo umeingilia mlango usio wenyewe ungeanzia kule kwenye utambulisho wa memberz...!
ila sio nongwa.....
kwa maelezo yako mwenyewe majibu tayari unayo, kwamba hicho anachofanya mwenzio hakikupi raha...
Act kama mwanaume, mpe space achana na simu yake......
ila kwa hali ilipofikia hapo naona kama tayari ushachelewa kidogo, so cha kufanya kuwa tayari kumpoteza sababu hatua zozote za kujifanya unataka kuonyesha unamjali sana na kumuhangaikia ndio zitamkera zaidi na utamboa kabisa na hivyo ndio kumpoteza kabisa.
Calm down, take it slow, punguza hisia, mpe space, akikuhitaji kuwa pale kwa mda wako na umsikilize wala usilaumu
Unamwambia karibu jamvini una uhakika gani kama ni mgeni halafu sio sheria kwenda kwenye jamvi la kuomba ukaribisho ni hiari.