Mpenzi wangu anafuliwa boxer...

We unachojua ni kuomba utumiwe nauli tu na hela ya kuchangia harusi za wenzako unategemea nini
 
Ngumu kumeza. Hapo wa kujiongeza ni weye mwenyewe kwa kuanza kuwa unamfulia mpenzi wako hizo boxer sababu unaweza kuliamsha dude ukakuta hakuna lolote zaidi nje ya, yaani ni wale wanaolipwa kwa kufanya hizo kazi sababu huku mijini kwa jinsi maisha yalivyo magumu watu wanaofanya kazi kama hizo wapo.

Pia mwambie awache uvivu ikiwa boxer tu anataka afuliwe sasa zile nguo nyingine je?
 
kama anamlipa shida iko wapi??

na ww uko wap mpaka anamlipa mtu wa usafi??

hebu ji assess mwenyewe kama unafaa au utaishia kua unatumika tu
 
Asingekua mpenzi wake asinge hadi boxer..
Shtuka...
Nilichopenda huyo mwenzio anakufahamu...anakuibia kisaa. Pole sana jewjew
 
Unajua ww umekurupuk kupost huu uz ss sjui unataka ushauriwe nn ingali mweny makosa ww yaan ww unamkuta ex wak kila time yuko smart geto saf huo usaf ungetakiwa umfanyie ww ila km vip kinukish lakin itakukost kwasabab nimjinga wa fikra
 
Nimesoma kwa makini sana, nikaja kugundua mapenzi ya sasa yamejawa na mizimu ya kuigiza na machafuko yaliyojawa mioyoni mwa watu.
 
Wakati wao wananyoosha miguu inachezewa na wasafisha kucha huku mipaja iko wazi kuosha miguu tu hawawezi wanampelekea mtu mwingine aichezee. Halafu analeta povu mtu kufuliwa boxa.....
 
Inaonyesha wewe dada una roho mbaya kama bakayoko aka pogba...Haiwezekani mwenzako anapata riziki wewe unaleta mawivu wivu yako.
Alikuwa anafuliwa kabla hata hajakutana
 
Kabla hujakinukisha ongea nae kistarabu coz huenda wala hakuna kinachoendelea kati yao zaidi ya usafi tu...

Wanaume wengi wako wavivu na rough so usishangae sana, kama socks zenyewe zinawashinda kuweka kuweka vizuri kila wavuapo sembuse boxer kufua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…