Wakuu
Hivi majuzi nilipata kuonana na msichana Fulani ambaye tulizoeana baada ya muda mfupi na hadi tukafikia hatua ya kuwa wapenzi. Na kwa kweli kwa Siku za mwanzo tulikuwa tunapendana sana labda kwa kuwa ni mwanzo. Lakini Jana ameniambia kuwa ana mimba na ni mimba ya MTU aliyekuwa naye kabla. Ameniomba tuachane kwa kuwa anahisi hanifai tens...hadi sasa nipo dilemma...
Endelea naye tu Mkuu kwa sababu unampenda sana. Mwambie utalea mimba na mtoto pia na kama atapata ujauzito mwingine toka kwa ex wake wewe huna tatizo utalea tu.
Kupasha kiporo huwa ni jambo la kawaida
Hauwezi kuisha sababu tabia ya kuwasiliana na maex bado ipo.Seriously?? Ukimwi utaisha