Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Heshima kwenu washikadau
Nina mpenzi wangu ambae tupo kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, huyu binti wakati naanza nae mahusiano alikua na mwili ambao ni standard lakini kwa siku za hivi karibuni amekua tukunyema sababu ya kupenda kufakamia misosi.
Uzoefu wangu ni kwamba mtu akishajizoesha kula kula ni kama addiction fulani hua ni ngumu sana kubadilika. Na ubaya wa mwili ukishaongezeka kuja kuupunguza ni shughuli pevuMchane kwamba hupendi alivyofutuka na inaweza kuwa sababu ya wewe kusitisha penzi.
Uzoefu wangu ni kwamba mtu akishajizoesha kula kula ni kama addiction fulani hua ni ngumu sana kubadilika. Na ubaya wa mwili ukishaongezeka kuja kuupunguza ni shughuli pevu
Hahahahaaaa!!!! Hapa hapa mkuu......au unaamini kuwa product hii haiwezi kutoka Tanzania....??Naija or Ghana?
Amekaa kama Mnaija...Hahahahaaaa!!!! Hapa hapa mkuu......au unaamini kuwa product hii haiwezi kutoka Tanzania....??
jamani vibaya hivo mjue!Mchane kwamba hupendi alivyofutuka na inaweza kuwa sababu ya wewe kusitisha penzi.
Hahaha!!! Inawezekana maana mimi nimeitoa mtandaoni kama kielelezo cha mwanamke ninavyopenda awe.......Amekaa kama Mnaija...
Kuna specie fulani Naija imekaa kama huyu mdada, plus namna amevaa...
She's absolutely gorgeous
Yaani uliwaacha sababu ya kufutuka tu? Mbona mnatutesa wanaume nyie😒 yaani mnataka tusile tushindie biscuits tu ili tuwe vimbaumbau?Mimi nimeshaachana na wanawake wawili kwa sababu hiyo hiyo. Mimi wala sikuwaambia nilichapa lapa kimyakimya
jamani vibaya hivo mjue!