Moja kwa moja kwenye mada!!
Mimi na mpenzi wangu tuna miezi mitano sasa!!
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti!!
Tulikutana Dar, nikiwa nafuatilia mishemishe flani hivi, na yeye huko ndio kwao, ila kwa sasa yupo mkoa mwingine!!
Kwa kweli baada ya kuonana, nilimuelewa sana, hata yeye alinipenda mno. Mpaka tukafikia stage ya kutambulishana kwa watu wetu wa karibu. Binafsi niliamini hapo mke nishapata!!
Nikaanza kumshirikisha mipango ya jinsi ya kufanikisha kuishi pamoja, yaani kurasimishwa kama mke na mume!!
Nilimuambia, ngoja nijipange vizuri, ili mwezi wa kumi nambili katikati, nikajitambulishe kwao!! Alifurahi sana!!
Sasa, katikati hapo, alinitembelea huku nilipo, na alifurahi sana kwa jinsi nilivompokea, na nilimkarimu kwelikweli, kama wife to be!!
Mara baada ya kurudi kwao, kwa kweli amebadilika sana!! Ana hasira, na gubu balaa!!
Yaani anaweza asinitafute hata wiki nzima, na nikimtafuta anajibu kwa ukali, na kwa kifupi sana!! Naweza tuma text whatsapp, na asijibu au akajibu kwa kuchelewa sana, tena shortcut!!
Na sasa ana mtindo, nikimpigia, tukiongea kidogo tu ananikatia simu!! Kwa kweli kitendo hicho kinanikera sana, na ninahisi ananidharau mno!!
Kwa kweli sielewi ni kipi kinachoendelea upande wake!!
Nilijaribu kumpigia tuzungumze, lakini alikuwa mkali balaa, na eti hataki kuzungumzia mambo hayo!! Akakata simu!!
Jamani hebu naombeni mnishauri, au mwenzangu atakuwa huko ashapata mwingine!!
Sio kwamba siwezi, lakini sikutaka kabisa kuachana naye kwa kuwa, sikutaka tena kutafuta mwanamke mwingine wa kuona, kwa sababu kwangu hiyo ni kazi kubwa sana!!
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu!!
The issue ni kuwa hata ukikaa kimya vipi kuna siku itafika huyo manzi ataanza kukusumbua kwa kukutafuta. They are born that way hahahaaaa....Yaani kausha kabisa usimsemeshe lolote wewe mwangalie tu jali mambo yako achana naye atakupa stress tu ambazo hazina sababu unapaswa kuchukua maaamuzi magumu
sent from HUAWEI
Moja kwa moja kwenye mada!!
Mimi na mpenzi wangu tuna miezi mitano sasa!!
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti!!
Tulikutana Dar, nikiwa nafuatilia mishemishe flani hivi, na yeye huko ndio kwao, ila kwa sasa yupo mkoa mwingine!!
Kwa kweli baada ya kuonana, nilimuelewa sana, hata yeye alinipenda mno. Mpaka tukafikia stage ya kutambulishana kwa watu wetu wa karibu. Binafsi niliamini hapo mke nishapata!!
Nikaanza kumshirikisha mipango ya jinsi ya kufanikisha kuishi pamoja, yaani kurasimishwa kama mke na mume!!
Nilimuambia, ngoja nijipange vizuri, ili mwezi wa kumi nambili katikati, nikajitambulishe kwao!! Alifurahi sana!!
Sasa, katikati hapo, alinitembelea huku nilipo, na alifurahi sana kwa jinsi nilivompokea, na nilimkarimu kwelikweli, kama wife to be!!
Mara baada ya kurudi kwao, kwa kweli amebadilika sana!! Ana hasira, na gubu balaa!!
Yaani anaweza asinitafute hata wiki nzima, na nikimtafuta anajibu kwa ukali, na kwa kifupi sana!! Naweza tuma text whatsapp, na asijibu au akajibu kwa kuchelewa sana, tena shortcut!!
Na sasa ana mtindo, nikimpigia, tukiongea kidogo tu ananikatia simu!! Kwa kweli kitendo hicho kinanikera sana, na ninahisi ananidharau mno!!
Kwa kweli sielewi ni kipi kinachoendelea upande wake!!
Nilijaribu kumpigia tuzungumze, lakini alikuwa mkali balaa, na eti hataki kuzungumzia mambo hayo!! Akakata simu!!
Jamani hebu naombeni mnishauri, au mwenzangu atakuwa huko ashapata mwingine!!
Sio kwamba siwezi, lakini sikutaka kabisa kuachana naye kwa kuwa, sikutaka tena kutafuta mwanamke mwingine wa kuona, kwa sababu kwangu hiyo ni kazi kubwa sana!!
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu!!
Anangoja aje apigwe nyundo ya kichwa ili azinduke.Ameshaonja mpododi kwingine! Simply amka kimbia acha kupoteza muda na mawazo yako, kiwanja chako kimeuzwa tayari! Hakuna future hapo jombaa!
Sana tu mkuu!!Ulimgonga?
Bila mabinti kutumia ma-dildo basi vibamia ni habari za kusadikika tu.Na zama hizi ndio tunasikia kuwepo kwa suala la vibamia
Sawa ndugu yangu, ntafanya kama mnavyonishauri!Sasa fanya hivi...
Kuanzia leo usimtumie text wala kumpigia mpaka yeye akutafute asipokutafuta ndo ujue mwisho umefika.
Na akikutafuta usimshobokee, kuwa normal maana ukimshobokea imekula kwako.
Kuna swali umeulizwa hapo juu naona unalikimbia, je ulikula mzigo?
Moja kwa moja kwenye mada!!
Mimi na mpenzi wangu tuna miezi mitano sasa!!
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti!!
Tulikutana Dar, nikiwa nafuatilia mishemishe flani hivi, na yeye huko ndio kwao, ila kwa sasa yupo mkoa mwingine!!
Kwa kweli baada ya kuonana, nilimuelewa sana, hata yeye alinipenda mno. Mpaka tukafikia stage ya kutambulishana kwa watu wetu wa karibu. Binafsi niliamini hapo mke nishapata!!
Nikaanza kumshirikisha mipango ya jinsi ya kufanikisha kuishi pamoja, yaani kurasimishwa kama mke na mume!!
Nilimuambia, ngoja nijipange vizuri, ili mwezi wa kumi nambili katikati, nikajitambulishe kwao!! Alifurahi sana!!
Sasa, katikati hapo, alinitembelea huku nilipo, na alifurahi sana kwa jinsi nilivompokea, na nilimkarimu kwelikweli, kama wife to be!!
Mara baada ya kurudi kwao, kwa kweli amebadilika sana!! Ana hasira, na gubu balaa!!
Yaani anaweza asinitafute hata wiki nzima, na nikimtafuta anajibu kwa ukali, na kwa kifupi sana!! Naweza tuma text whatsapp, na asijibu au akajibu kwa kuchelewa sana, tena shortcut!!
Na sasa ana mtindo, nikimpigia, tukiongea kidogo tu ananikatia simu!! Kwa kweli kitendo hicho kinanikera sana, na ninahisi ananidharau mno!!
Kwa kweli sielewi ni kipi kinachoendelea upande wake!!
Nilijaribu kumpigia tuzungumze, lakini alikuwa mkali balaa, na eti hataki kuzungumzia mambo hayo!! Akakata simu!!
Jamani hebu naombeni mnishauri, au mwenzangu atakuwa huko ashapata mwingine!!
Sio kwamba siwezi, lakini sikutaka kabisa kuachana naye kwa kuwa, sikutaka tena kutafuta mwanamke mwingine wa kuona, kwa sababu kwangu hiyo ni kazi kubwa sana!!
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu!!
Yaaani wanawake wanatutesa sana wanaume... Dah!!Pole sana, fanya yako . Achana nae huyo.
Mkuu [emoji817] nakubaliana na huu ushauriMwanaume usiweke moyo wako kwa mwanamke asilimia mia, siku akikumwaga utalia
Kuna mdau aliwahi kukazia humu kuwa mwanaume anayejielewa usijiwekee asilimia miamoja kuwa mwanamke uliyenaye anaweza kuwa nawewe milele , usijiwekee asilimia mia siku akibadilka utakuja kulia Mwanaume anaweza akachepuka na bado akaijali familia yake na kila kitu kuazia matunzo akaendelea kutoa...www.jamiiforums.com
Rejea uzi wangu huu niliwahi kusema maneno haya[emoji116]
Kuna mdau aliwahi kukazia humu kuwa mwanaume anayejielewa usijiwekee asilimia miamoja kuwa mwanamke uliyenaye anaweza kuwa nawewe milele , usijiwekee asilimia mia siku akibadilka utakuja kulia
Mwanaume anaweza akachepuka na bado akaijali familia yake na kila kitu kuazia matunzo akaendelea kutoa ila mwanamke akianza kukusaliti jua ndio ntolee
Sasa ukiwa na mwanamke hasa mchumba epuka sana kuwekeza fedha nyingi au kumwaga hela ukijua ndio tayari ni wako , my friend mchumba hatakiwi kuwekezewa mali ukiwekeza fanya kama unabeti ili siku akija kukubadikikia usije ukashika kisu , misiba hatuitaki
Mpende mwanamke kwa kiasi na usiamini kuwa utakuwa naye milele ili siku akija kubadilika usije ukaja kulia, mwanaume anaweza akachepuka na mwanamke aliyekutana nae ndani ya mwezi mmoja na bado akaendelea kumjali mkewe na familia ila mwanamke anaweza akachepuka na mtu aliyefahamiana nae ndani ya wiki tu na akabadilika kabisa ni wepesi kubadilika (sio wote)
Hivyo kama upo na mwanamke na unajua hujamuowa ishi nae kwa akili, kama huna moyo acha kabisa kutumia fedha nyingi kumhonga au kumfungulia mabiashara makubwa ukidhani utamdhibiti , siku akija kubadilika hutoamini macho yako, ukitoa hela toa kama unabeti ukijua kuna hasara na faida ili siku akifanya yake usije ukaanza kunoa panga.
Mpende kwa kiasi ukijifanya unampenda na kumnyenyekea umeisha, wanawake wakiona mwanaume zezeta kukusumbua ni kawaida, yani kuwa nje ndani asijue kama yeye ndio kila kitu kwako ili asikuletee masihara, mpende mhudumie kwa kiasi ila sio kwa misifa akija kubadilka narudia tena utakuja kufungua uzi hapa kulalamika
Moja kwa moja kwenye mada!!
Mimi na mpenzi wangu tuna miezi mitano sasa!!
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti!!
Tulikutana Dar, nikiwa nafuatilia mishemishe flani hivi, na yeye huko ndio kwao, ila kwa sasa yupo mkoa mwingine!!
Kwa kweli baada ya kuonana, nilimuelewa sana, hata yeye alinipenda mno. Mpaka tukafikia stage ya kutambulishana kwa watu wetu wa karibu. Binafsi niliamini hapo mke nishapata!!
Nikaanza kumshirikisha mipango ya jinsi ya kufanikisha kuishi pamoja, yaani kurasimishwa kama mke na mume!!
Nilimuambia, ngoja nijipange vizuri, ili mwezi wa kumi nambili katikati, nikajitambulishe kwao!! Alifurahi sana!!
Sasa, katikati hapo, alinitembelea huku nilipo, na alifurahi sana kwa jinsi nilivompokea, na nilimkarimu kwelikweli, kama wife to be!!
Mara baada ya kurudi kwao, kwa kweli amebadilika sana!! Ana hasira, na gubu balaa!!
Yaani anaweza asinitafute hata wiki nzima, na nikimtafuta anajibu kwa ukali, na kwa kifupi sana!! Naweza tuma text whatsapp, na asijibu au akajibu kwa kuchelewa sana, tena shortcut!!
Na sasa ana mtindo, nikimpigia, tukiongea kidogo tu ananikatia simu!! Kwa kweli kitendo hicho kinanikera sana, na ninahisi ananidharau mno!!
Kwa kweli sielewi ni kipi kinachoendelea upande wake!!
Nilijaribu kumpigia tuzungumze, lakini alikuwa mkali balaa, na eti hataki kuzungumzia mambo hayo!! Akakata simu!!
Jamani hebu naombeni mnishauri, au mwenzangu atakuwa huko ashapata mwingine!!
Sio kwamba siwezi, lakini sikutaka kabisa kuachana naye kwa kuwa, sikutaka tena kutafuta mwanamke mwingine wa kuona, kwa sababu kwangu hiyo ni kazi kubwa sana!!
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu!!
Naunga mkono hoja.IMENIBIDI NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA ILI UNIELEWE KWANZA KABLA YA YOTE POLE SANA BROO
Ila naomba niende direct kwenye mada ikoo hivi wanawake ni watu wenye mambo mengi sana lazima usipowaelewa wataakumiza kichwa sana sasa naomba nikupe FALSAFA NANE kuhusu wanawake ukiona amefikia stage AMEBADILIKA GHAFLA unatakiwa ufahamu FALSAFA NANE
1.falsafa ya kwanza mwanamke anapokubadilikia inaonesha kuna jambo amekupigia kelele sana ubadilike lakini hubadiliki mpka kachoka
2.falsafa ya pili kuna mazingira mapya amekutana nayo sasa anaona wewe unampotezea muda
3.falsafa ya tatu anatingisha kibiriti wanawake always wanapenda kutingisha vibiriti jambo dogo wanalifanya kubwa ili akuone utachukua hatua Gani
4.falsafa ya nne kuna mtu amekutana nae kiuchumi yupo stable kuliko wewe na anataka kutia nia sasa wewe unaonekana kama kikwazo kwake
5.falsafa ya tano nguvu za njee inawezekana kabisa wazazi,marafiki au ndugu wamekaa nae na kumshauli aachane na wewe wanaona unampotezea muda wake
6.falsafa ya Sita mwanamke ameanza kupatwa na hofu kuna Dalili za wewe utamuacha uko mbali utamwacha
NINI CHA KUFANYA
ninachokushauli fanya ufanyavyo ukutane nae uso kwa uso mzungumze katika mazungumzo yenu hapo ndipo utapata picha kamili
Pia nakukumbusha don’t be hash to her ukiona amefika hatua hataki kuonana na wewe just be cool usichukue maamuzi kaa chini utulie
😂😂😂Shoo blaza.shoo mbovu au unakibamia.au una kijasho