Mpenzi wangu ameanza tabia ya kuzima simu usiku

estlyjonathan

Member
Joined
May 26, 2016
Posts
84
Reaction score
122
Nimeamua kumwambia ukweli afanye maisha yake maisha hayo ya kuzimiwa simu kipindi tunalala wakati mimi sinaga hiyo tabia wakati majuzi ananiambia kila mtu ashike simu yake ikabidi nistuke na haikuwahi kutokea kuniambia hivyo.

Nimeamua aende asinisumbue nishachoka.
 
Kiutabibu, Siyo vema kulala simu ikiwa on.

Tatizo hujiamini mama. Fanya yako kama ulivyoamua.
 
Umechoka kisa simu yake?
Wewe unalako jambo
 
Mnawaza ujinga tuu hayo ndiyo malipo yake
 
Mapenzi ya siku hizi ni ruksa kushikana ila sio kushikiana simu

[emoji127] [emoji132] [emoji736] [emoji135] [emoji735] [emoji726] [emoji336]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…