Hahahahahahah,ngoja watoke huko walipofungiwa[emoji23]JAmani eeh, tujifunze sheria mpya,Ex wako hatakiwi
kuwa adui, nimeshuhudia Ma-ex wengi tu
wakiachana na kurudiana baadae, au Ex kukuhelp
kwenye ishu muhimu bila wewe kutegemea. Dunia
duara, tabia za kuachana na mtu halafu unajifanya
we kibaka mzoefu unaanza kumtukana ooh sijui nilikutoa wapi najuta kudate na wewe una sura
kama kitunguu utakuja juta. Siku mnarudiana sura
itakushuka kama chapati maji maana Kitunguu ndo
kimekuwa mmeo tuone kama utamtumia kuungia
mboga. Muwe wastaarabu
Nikiona mwanaume anatumia maneno kama "my ex" huwa namuona kama msengwile vileJAmani eeh, tujifunze sheria mpya,Ex wako hatakiwi
kuwa adui, nimeshuhudia Ma-ex wengi tu
wakiachana na kurudiana baadae, au Ex kukuhelp
kwenye ishu muhimu bila wewe kutegemea. Dunia
duara, tabia za kuachana na mtu halafu unajifanya
we kibaka mzoefu unaanza kumtukana ooh sijui nilikutoa wapi najuta kudate na wewe una sura
kama kitunguu utakuja juta. Siku mnarudiana sura
itakushuka kama chapati maji maana Kitunguu ndo
kimekuwa mmeo tuone kama utamtumia kuungia
mboga. Muwe wastaarabu
Msiwe marafiki wakubwa, kuweni marafiki wa kawaida. Urafiki na x- wako ni sawa na kutembelea muwa kama vile fimbo (mkongojo) lazima kuna siku utautafuna tuHii tabia Ni mbaya Sana.mie niliachana Na demu wangu lkn tumekuwa marafk wakubwa sasa.
Duuh, lakini dua mbaya haombewi mtotoMessage sent and delivery, hii mada sichangii maana mhusika yupo humu na anaijua ID yangu. Ujumbe mfikie tu! na sms yake ya mwisho 2013 aikumbuke vizuri na kauli zake kwangu za sasa alinganishe!!! ha ha haaah!