Mpenzi wa zamani anataka kuniharibia ndoa yangu

We jamaa wa ajabu sana

Allah akusamehe kosa lako,maana hukujua ulitendalo

Muombe Muumba wako msamaha
kisha,kwakuwa ww ni Muislam,Basi ushauri wangu,ongeza wa pili
na acha Blaa Blaa


Kisha,kuwa na tabia ya kuficha aibu yako
Aibu haitangazwi ndg
Ni dhambi kubwa sana kutangaza aibu yako au aibu ya mwenzako

Muhimu,rudi kwa Mola wako,na muombe msamaha
kisha ongeza mke wa pili
 
Acha uoga kula mzigo. Mwambie wazi ukinitext nakubamiza ukinipigia Niko na wife nakupiga pia, wife akijua nakupiga na nakuacha. Afu kula mzigo, akizingua unapiga na unakula, Huyo mistress tu, ila mke akimind mbembeleze mistress akimind piga makofi.
 
Wew unatuzingua tu mjinga wew. Zinaa inalipwa Kwa mtu wako wa karibu ng'ang'ania na huo moyo wa tamaa uone mungu alivyo mwema Kwa wote.
 
Na wewe nae si ukule tu kimya kimya
 
Chuo ulichosoma inabidi kivunjwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…