Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 167,201
- 185,493
Bora ulivyoshtuka...
trueHaswaaa. Sometimes ni muhimu kukata zile ties moja kwa moja. Ili shetani asitumie mlango ule ule kukuangusha tena
Tamaa zina ponza, ulitakiwa uwe na msimamo lakini mitamaa yako ndo imekufikisha hapo ulipo
Muoe mke wa pili
Umeamua kupangwa kwenye foleni yake . Hongera kwa kusimama mstarini . Pole kwa kusaliti . Mkeo akiliamsha huko uje utusimulie pia
Basi achana nae haki na mke wakoImani yangu hairuhusu
Muoe tu na yeye sasa, labda hayo ndio mafunzo uliyoendea nje ya nchi
Katisha mawasiliano nae mpigie block la maisha,usijibu sms wala tupokea call zakeNdo ishatokea tell what to do
Basi achana nae haki na mke wako
UraaaaNdo najiuliza naanza anzaje coz bado feelings zipo kote kote siunajua sisi wanaume tunaweza kupenda mara mbili kwa wakati mmoja?

kazi ipoo unaitaji maombiNipigie basi maombi tafadhali nmchukie mana mm kumwacha naweza ila moyoo.Uraaaakazi ipoo unaitaji maombi
Nipigie basi maombi tafadhali nmchukie mana mm kumwacha naweza ila moyoo.

kuanzia Leo ntaanza kukuweka kweny maombi..Siwez kumuoa kwani nina mke na imani hairuhusu more than one.
Ushauri plz sihitaji predictions
Nikifanikiwa nitakutell endelea kuokoa jahazi mpendwa.kuanzia Leo ntaanza kukuweka kweny maombi..
Usijaliii walaaNikifanikiwa nitakutell endelea kuokoa jahazi mpendwa.