Kuna demu wa mshikaji ambae ananitaka kimapenzi kwa njia awezayo, na kila ninapokutana nae anamkana sana mshikaji kuwa hajawahi kutoka nae japo ni kweli demu katumika, so nifanyeje wana?
Kama humfill mpe za uso mwana. Halafu kama jamaa ni mshikaji wako kinoma mtonye ili asijemshobokea demu kivile sababu demu mwenyewe siyoo......Gonganisha goma hilo...mrekodi wakati anaongea na wewe kuhusu hayo mambo au mwambie jamaa amfumanie tuu yaishe....
Kuna demu wa mshikaji ambae ananitaka kimapenz kwa njia awezayo, na kila ninapokutana nae anamkana sana mshikaji kuwa hajawahi kutoka nae japo ni kweli demu katumika, so nifanyeje wana?
Kuna demu wa mshikaji ambae ananitaka kimapenzi kwa njia awezayo, na kila ninapokutana nae anamkana sana mshikaji kuwa hajawahi kutoka nae japo ni kweli demu katumika, so nifanyeje wana?
Ivi ingekua huyo huyo asiekua na mshipa wa NOMA ni wako wewe na rafiki ndio ana sumbuliwa halafu rafiki akamgonga na wewe ukijua utajisikiaje? usijirahisishe huyu ni janvi la wageni na wewe ni mwanamme kua na maamuzi ya kuime .....