Kuomba ilhali niko mzima kiakili na kimwili kwangu mwiko.
Been on my own since I was 18 and I've never asked even my parents for money.
Sasa sielewi dume zima unaanzaje kumwomba mtu mwingine hela.
Ile ya kusaidiana anapokwama sawa.. ila sio kukuomba kila siku
Naona aibu kumuomba pesa mwanamke
Mimi nimekoma bora nimuombe msela mwenzangu na sio mwanamke hata kama umekwama anakuona kama unamsumbua tuuu kwa kutaka kula vyake
Mie kwangu sioni usumbufu.. sema inategemea na mahusiano yalivyo
Hahahahahahahaha! Mambo ya haki sawa yamegeuka kuwa mwiba ghafla, kama kuna wanawake wanaweza kulala na mwanaume ili tu wapate pesa wengine mpaka kwenye simu zao wamesave majina tofauti mara shoping, vocha, honey, hata kwa wanaume ni hivyo hivyo kwa kizaz hiki cha haki sawa hivyo tuvumiliane tu ndo hali halisi
Mimi nilishamkimbiza mmoja kwa ujinga huohuo mtu mzima kila siku kafulia, yani hakuna siku ana hela. Mishe zote hizi mjini hapa utakosaje vihela vya hapa na pale.
I have friend of mine nilishawahi kumuomba mwenzangu ana kaz na kujenga keshajenga nakumbukla aliacha kupokea simu zangu hapa namsubiri kwenye kona siku ajipendekeze kunipigia na kujifanya ananijua sana! Mi ninavyojua kuomba msaada unapokwama sio kosa kosa ni pale ndo inapokuwa proffesional yako
umeona ee kuna mijanaume mingine inakera kweli yan kila siku mtu hana hela..kwan wanaume wenzie wanapataje hela...af mtu km huyo akigongewa analalamika
Yah niko siriasi ndo haki sawa yenyewe hiyo au mlitaka nyie tu ndo muwe mnaomba huku kuiwa na haki sawa?
Hahahaha tena hilo jina la Buzi mlilitoa wenyewe baada ya kuona mnapata mnachotaka katka kujitambia kwa mshost ndo unasema nimejipatia buzi langu nalichuna, wanawake mna mambo sana mimi huwa nashindwa kuwatafakari huwa mnataka nini hasa? sasa unaona afadhal ingekuwa kwenye ndoa mbona nyie hayo mnayataka kabla ya ndoa?Mkiombwa nyie mnalia kuitwa mabuzi Daudi1 . mimi sikatai kuna kusaidiana ila kuna wengine hawana hiyo kutwa kulalama shida hata starehe ya mapenzi inapotea. bora tuwe mke na mume inamake sense
umeona ee kuna mijanaume mingine inakera kweli yan kila siku mtu hana hela..kwan wanaume wenzie wanapataje hela...af mtu km huyo akigongewa analalamika
Acheni kutanguliza pesa za watu mbele!
umeona ee kuna mijanaume mingine inakera kweli yan kila siku mtu hana hela..kwan wanaume wenzie wanapataje hela...af mtu km huyo akigongewa analalamika