Mpenzi mwenye ---- moja

Hatukuwasiliana kama siku ama wiki hivi.......siku tumekuja kuwasiliana ni kwenye fb online tena......basi nikawa wazi nikamwambia aniambie ukweli yeye ni nani ......akaniambia why namuuliza nikamwambia niliyoyaona usiku ule kwenye sanduku lake....akaniambia niwe tayari akiniambia nimuahidi sintomwacha...nikamwambia sawa kabisaa...eeh akaniambia flani nimekupenda sanaaaa mimi huwa nafanya kazi chafu sanaaaa yani nikikwambia kazi chafu ni chafu haswaaa huwa narecord wanawake ninaolala nao haijalishi wapo vipi.....wewe nimekuonea huruma sana umenipenda na kuniamini hauna makubwa......huwa nakurecord ikawa haujui na kisha nikimalizana na wewe na nimekusoma una hela huwa nina kutumia cleap yako kwa kukutajia gharama zangu ukipinga nairusha hewani ..........duh nikamuuliza kwa mpenzi why ufanye hivyo akanijibu ni baada ya kutendwa na girlfriend wangu nimeamua kuwa na visasi sanaaaaaaa mbona nshalamba mauchi ya akiana ( akaanza taja majina ya wanawake wakuuuubwa mawaziri) ukitaka naweza kukutumia cleap ila ufunge mdomo na hela sana sana nshavuta toka kwao......nikamwambia tuma nione
 
Tobaaaaaaa si akatuma weeeeeeeeeeeeee kwa maacho niliomwona flani( ..........)siwezi kumtaja jina hapa ni maarufu tu sio kidogo

basi nikamshukuru sana kwa kutonifanyia hayo mimi na nikaaahidi kutomwacha kabisaaa.....kumbee ndo gooodbye...... Nikajitoa facebook....simu nikabadilisha ....nikahamia na nchi jirani.........na mambo yangu sasa yapo vyema sanaaaa.........
 
u gotta love JF!!!,ina kila aina ya watu, ina warefu na wafupi, wembamba na wanene, wenye akili na CHADEMA, pamoja na wachekeshaji kama ma jery....kiukweli umenifurahisha sana.........u've made ma day
 
ahahaha. :crutch:bwana wewe usinichekeshe mwenzio, ntapata kwikwi! Aaagh. Kalio moja? Hukumuangalia vizuri bwana
hii inabidi iingie kwenye katiba mpya. Ile rasimu iko wapi kaka kaizer?
alikatwa akigombea mwanamke na friend wake eti yaaani sijui alikuwa jini yule
 

Haya jamani Smile KOKUTONA ladyfurahia lara 1 Kaizer na hadithi yetu imeishia hapa.
Kama kawaida Invisible atupandishie juu.
Ahsante ma jery kwa kushare nasisi
 
Last edited by a moderator:
Daaah kalio moja tena? Sasa anakaaje? Usiku ukipapasa papasa si unagusa tigo ya mtu live .....maweeeee
 
Endelea bi dada!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyo mtu anatisha si mchezo mwee. Na wewe nakusifu hauna woga duh
 
Kwani amesema amelala naye jamani?
Ama ni Mi cjaelewa vema alichosema! Maana na kama ma jery kasema jamaa amemnanihii kwa ndimi mpaka akamkojolesha na jamaa hakuwa tayari kwa Dushelele lake kutumika hata kama ni kinaninihii!


MMHH.'tangu niingie hapa jamvini sijawaiona, duu jamaa ana clitoris. Ila na wewe kwa nini ukutumia hata condom una hatari nenda kapime ss.
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha ha haaaa!

Unataka kuniambia ma jery alifanikisha hilo?

Duniani kuna mambo wajameni!

Daaah kalio moja tena? Sasa anakaaje? Usiku ukipapasa papasa si unagusa tigo ya mtu live .....maweeeee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…