Naanza na samahani lakini ivyi y mpaka mkawasiliane kwa pm??kwanini kama ni stage za mwanzo zisiwekwe hadharani???thn kama ukiona anafaa ndo muende kwa pm..!!na wasiwasi sana na hizi pm isije tu ikawa mtu wadanganyika kirahisi na possibilities za kuwekwaa foleni pia...!!!kama kweli unatafuta mke/mme haina haja ya pm tiririkeni hapa tuone....!!!!SORRY....!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.