Mpenzi kanichunia

Emu piga gharama ya abortion na gharama ya kulea mtoto..alafu ndo utaelewa umuhimu wa abortion
em piga gharama ya condom na ku`abort then future risks kwa starehe ya dakika zisizo zidi 365... kama kweli unajua cost effective and opportunity cost.
 

hivi unajua ulicho kiandika?
 
Yani nimejikuta nacheka tuu. Yani mnapeana zamu ya kutoa Mimba nyie hatarii kuna watu wanakuwa maskini kwa garama za kutafuta mtoto nyie mnapeana zamu kweli Mungu anahuruma sana.
 
nimecheka sana hilo jibu, kiukweli hujisomi mkuu na naomba asikusamehe kamwe.
 

I hate people wanaofanya abortion,...sipendi hata kulichangia hili suara!...
 
I hate people wanaofanya abortion,...sipendi hata kulichangia hili suara!...

Bora abortion au bora watoto wasiokua na malezi bora na kuishia kuharibika maisha yao..bora kipi?
 
Acha kuharibu jukwaa wewe hapa sio Facebook.Unaandika vitu vya kutunga tunga hapa hatufuati comment na Like tunashauriana
 
Bora abortion au bora watoto wasiokua na malezi bora na kuishia kuharibika maisha yao..bora kipi?
...kwa hiyo wewe kwako kuua ni jambo la kawaida au siyo,..ungefanyiwa abortion wewe ungekuwa hai hadi leo?,..please don't entertain huo unyama....
 
Kuna siku utakaa na kuufeel uzito na ukatili mliofanya, mtaumia na kukosa aman.sio ujanja wala akili
 
Siamini km akili yk ipo sawa mkuu,tatizo la shule za kata(lowassa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…