Habari wakuu
mpenzi wangu wa collage juzi alinijia huku akilia kwa uchungu na kuniambia "nimetumia pesa yangu yote ya matumizi katika abortion na sasa sina pesa"Kwa mahaba nikamfuta machozi mpenzi wangu na kumwambia"Mpenzi wangu hata usijali kabisa,abortion inayofuata ntalipa mimi" Sasa wakuu toka siku hyo ndo kanichunia mpaka leo..sasa mm kosa langu nini hapo?