Mpenzi hataki niende Jeshini

 
Unataka kuwa kuruta wa serikali yeye anakuzuia kweli anakupenda ila ajira ngumu njoo welcome to the world
 
Somo la wepesi linatakiwa hapo mkuu,cha msingi taarifa asha pata..mwambie akuombee tu urudi salama
kunywa maji mengi,fungua moyo jipange kwa maovyo ovyo.........
 
Nenda jeshini kaka hawa wanawake wapo tu tena wengi zaidi yake cuz binafc tulikuwa na mademu wa mwanzo mara baada ya kupata kazi tulishindwa kutimiza ahadi baada ya kuona wakali zaidi ya wale....KAZI KWANZA WAREMBO BAADAE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…