Mpenzi anataka tufanye mapenzi watatu



1.Kwa wakati huo hukuwa unaongea na yeye bali ulikuwa unaongea na GRANTS aliyokunywa,

2.Ulitumia kondom kweli au ndo tayari kashakuambukiza afu anataka aone unavyosambaza kwa wengine live,

3.Labda ulimsugua sna mpaka kaona nouma bora apate msaidizi,

4.Labda anataka rafiki yake akufundishe maujanja afu umshuhulikie.

yote hayo yanawezekana cha msingi akwambie kwanini anataka ivyo,akikujibu uje kutwambia afu 2kushauri
 
real???

kwakweli yuko committed sana kwako thats why ana ku ofa papuchi mbili at the same time.

wala usimwache lolz... kamua mwanangu golden chanche never come twice!
 
Ningekimbia sana.....pamoja na ngoko kuwa haziwezi tena kukimbia....
 
mambo ya threesome hayo.natamani hii kitu...kama king mswati vile,sema tu haya ma-STD's ,ngoma na hofu ya mungu vinanizuia.otherwise cc wengine tungekuwa ni ma-super womenizer ever kudadeki.
 
Nakunong'oneza mkuu.
Huyo binti wana kundi lao maana isingekuwa vyepesi kumpata mtu ambaye angemwambia na kuongezeka na muwe wa3.
Na kwa taarifa yako hata yeye huwa anafanya hivyo kwa hao marafiki zake na wengi wao ni wasagaji ambao muda mwingine hufanya hivyo vitendo wakiwa wenyewe.
Chukua hatua haraka hapo mpo wengi sana maana na yeye huwa anawasaidia wenzake
 
mapenzi ya threesome ni vitu vya kawaida kabisa sasa
 
Siku nyingine muulize kama anahitaji threesome ya me mbili ke moja, akisema ndio nipm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wait a minute. Unakosa sababu ya kumtosa!!!!!! Isn't that enough reason?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DUNIA.....................,,,,,,,,,,,,, alijisemea sulemani,,........ ni ubatili mtupu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…