Mpenzi anataka nisinyoe

Hongera kwa kuanzisha thread...
 
Ana ile kitu "barabara isiopitiwa lazma iwe na nyasi"
usinyoe kama zimekuwa kero weka easy wave maisha yaendelee
 
Mie nilikuwa sijui kama (ashakum si matusi) mavuzi siku hizi yamekuwa kufuli na hivyo njemba kushindwa kugegeda lol!!!
BAK acha uoga wa BAN...mavuzi si tusi, haihitaji ashakum!

hehehe...!!!! pata picha unaingia ulingoni na bidada mrembo kweli nje...halafu unakuta Amazon ndogo....ashiki lazima ishuke!
 
Last edited by a moderator:
Aliyekwambia naogopa BAN nani!?

BAK acha uoga wa BAN...mavuzi si tusi, haihitaji ashakum!

hehehe...!!!! pata picha unaingia ulingoni na bidada mrembo kweli nje...halafu unakuta Amazon ndogo....ashiki lazima ishuke!
 
Hayatuhusu kabisa. This is your private business. Kama huna cha kuandika tulia kimya. Soma michango ya wenzako.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…