Mpenzi ananizingua

ni utoto 2, akikua ataacha, mi mwenyew nilikua napenda sana kuvaa hzo pete miguuni, vikuku na cheni kiunoni nilivyokua chuo, ila sa hiv nmeacha, ni ujana tu huo kaka, mwache amalize akija akakuvalia uzeeni mkiwa mshaoana ndo utaona ajabu zaidi....

Hata cheni kiunoni umeacha kuvaa?
 
Chukua maamuz yakiume..."let her fly,if sh comes back de way u want,sh is uaz,retake her"
 
bas ndio kuna dawa humo hahahaaaaa dawa ya peenziiii
 
Kama ushamgegeda mwache
 

naelewa mapenzi hayapangwi lakini vigezo vinapangwa, anyway sizani kama kuna jinsi ya tofauti ya ku handle hiyo issue zaidi ya wewe kumwambia kwamba hupendezwi na yeye anatakiwa akuelewa, sasa asipoelewa na kama kweli unampenda basi chukuliana nae hivyo hivyo ifanye kama moja ya madhaifu yake manake husitegemee kuna mkamilifu unaweza kumuacha huyo akaja mwingine ana magumu zaidi, sasa utaacha wangapi
 
Kuna kipindi nilizimika kwa binti mmoja hivi..baada ya mda nikagundua ana bonge la 'chata' mkononi, karibu na bega..niliondoka kimyakimya..!!

hiyo chata ilikuwa imeandikwa nn
 

Yaani hilo ndio kubwa, sijataka kutumia ubavu, nime apply diplomacy, nampa muda wa kufanya maamuzi, nilimuuliza, kwann hatak kuzivua, akasema, kwasababu anapenda kuzivaa, nikamwambia, most women wanao vaa hivyo huingia ktk category ya wanawake wahuni, malaya, na mashangingi, though sio wote kweli huw na tabia hizo. Lakini kubwa kuliko yote, nyumban sintoeleweka, nitaonekana kama nimeokota malaya njian na kumleta home, japo sio kweli, but it will take a while for them to understands her, na hiyo itakwamisha kwa kiasi kikubwa mipabgo mingi, ambayo nitahitaji baraka toka kwa Wazee wangu. Nimemwambia, kama kweli ananipenda, she will Listen, soo am watching her, Ukipita Mwezi hajafanya nachomuagiza, i will Let her Go, sipendi kuingia na kutoka ktk mahusiano, napenda ku settle but, kila nikiwaza kufanya hivyo vinaibuka vitu, basi najikuta nalazimika kusepa. Either i am the Problem, ama they are the problem, or my choices are not wise, ama sijui kumhandle mwanamke. Sijui tatizo liko wapi, but i will find it and CORRECT IT INSHAALLLAH.
 
Ya nn malumbano mkuu hata km unampendaa then akuelewi kwann unamshikiliaa achana nae maana inaonyesheaaa unamwambia hvyooo kilaa cku lkn hakuelewi.hyoo nguvu unayotumia kuongea nayee bora ukawaelimishe mateja waache kuvuta unga watakuelewa
 
huo sio urembo ni ishara kwamba anagawa tigo pole bro muelewe ndo umvue.
 

aisee mwache huyo dada atapata shida....unamuoa wewe au wazazi??....
 
asipokusikia leo kile umkatazacho hata ukimuoa utakachokikataza hatakusikia pia
 
Tatizo wewe una muomba avue badala ya kumwamuru avue.... kuwa mkali na akizingua makofi mawili matatu walaini yafaye ndo atajua uko serious
 
Kuna wakati sipendi unakutana na mtu ukubwani halafu anataka kukubadilisha.

kuna vitu ni vya ku compromise tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…