Put a frog in a vessel of water and start heating the water.
As the temperature of the water rises, the frog is able to adjust its body temperature accordingly.
The frog keeps on adjusting with increase in temperature...
Just when the water is about to reach boiling point, the frog is not able to adjust anymore...
At that point the frog decides to jump out...
The frog tries to jump but is unable to do so, because it has lost all its strength in adjusting with the rising water temperature...
Very soon the frog dies.
What killed the frog?
Many of us would say the boiling water...
But the truth is what killed the frog was its own inability to decide when it had to jump out.
We all need to adjust with people and situations, but we need to be sure when we need to adjust and when we need to confront/face.
There are times when we need to face the situation and take the appropriate action...
If we allow people to exploit us physically, mentally, emotionally or financially, they will continue to do so...
We have to decide when to jump.
Let us jump while we still have the strength.
Think on It !!
Unamuona kama shangingi...wakati ni shangingi already sema love inaku blind
Alikuwa amezivaa, na nilimwambia sivitaki, akasema atazivua, mpaka sasa hajazivua.
kweli ukipata B unataman A wenzio wanakerwa na mambo makubwa we hilo pia kwako ni shida, anyeway ni mapenzi yako msih aache
Kuna kipindi nilizimika kwa binti mmoja hivi..baada ya mda nikagundua ana bonge la 'chata' mkononi, karibu na bega..niliondoka kimyakimya..!!
wakati unamwambia hayo masharti ulikuwa unamtongoza au alikuwa anakutongoza? Haiwezekani kumtongoza mtu wakati huo huo unamuwekea masharti. Au ulikuwa unamtongoza kwa shuruti?
Pole sana asieskia la mkuu huvunjika guu upenzi tu huv hakuelew wala habadiliki hapo ndoan itakuaje usimruhus tena aje kwenu muepuke taratibu
Wakuu, Heshima kwenu, moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu.
Nina Mpenzi, tumekuwa pamoja for a while now, ila nagombana nae kitu kimoja tu, kila siku. Anapenda sana kuvaa pete kidole cha pili baada ya dole gumba, tena miguu yote miwili, nishamsihii sana, azivue lakini, husema nitavua, lakin hazivui, tukakubaliana, asije kwetu mpaka azivue, lakini keshakuja twice na hajazivua.
Kiufupi, mimi sipendi avae pete mguuni, naoana kama ni Ushangingi, naona kama nikimezea, kuna siku nitamkuta na vikuku, ni vitu vya kawaida kwa wengine, lakini kwangu vinanikera mno.
Sasa jaman, nifanyeje? Naombeni Muongozo maana, nakuwa simuelewi, namuuliza sabau ya kuzivaa, hanipi jibu la maana, au alivishwa na x wake nn? Sasa anaziacha kama ukumbusho? Au ni nini? Mi sielewi, nachoelewa nakereka na hii hali na nataka iishe. Nifanye nini?
Thanking you in Advance.
pole sana kama ameshindwa kukuheshimu na kukutii kwa sasa tna kwa jambo dogo like this
she will never ever ...........respect u
Pole sana bro tafuta rafiki zake wenyeheshima wamueleze pengine atabadilika
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Achana naye. Hakufai. Mpige chini
Mkuu,
Baada ya kupendezwa nae ndio nikasema nia yangu, kisha nikakubaliwa, sasa mara zote hapo ndio sehemu ya kuwekana sawa, ndio nikaanza na hilo suala, nikamwambia, hicho mguuni umevaa ni cha nn? Akasema ni Urembo tuu, nikamwambia atoe, sijapendezwa navyo, akasema atatoa, lakin hakutoa, mpaka sasa, bado hajatoa, na Jana usiku niligombana nae, nikamwambia, kwa hiyar nimemwambia avitioe amekataa, nitavitoa kwa nguvu, akawa analalamika tuu, sasa mm mwingi wa ghadhabu, nikapanic nikamwambia, akiendelea hivyo kuna siku nitaweka muda, ukiisha hajatoa tutagombana na nikamwambia, will be ready kwa impact yeyote itakayo tokana na huo Ugomvi, sasa, nikahisi huenda njia nayotumia sio sawa, Nikakumbuka Mpo ndugu zangu humu, mmejaaliwa maarifa, basi nikasema nitakuja kupata mawazo tafauti ili nijue, hili nali handle vipi. Mkuu, natambua kuna watu wana matatizo makubwa kuliko yangu, lakini kwa sasa, hili ndio kubwa kwangu, na hapa nakuomba unishauri njia njema ya kulitatua.
Una shindwa nini kumuacha??
Hiyo kali, alipokubali tu ukampa amri ya kuvua hayo makitu hapo hapo!
Kama hataki kuyavua hayo madude na wewe hutaki kumuona ameyavaa, basi huna budi kufuata misemo hii "mafahari wawili hawakai zizi moja, ukihisi koti linakubana livue " ulimkuta anayavaa kabla hata hujamtongoza, pia hakukuita ukamtongoze, kama vipi kaa kando.