GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,820
- 18,456
Hii kiki ya mtumbaWakuu poleni na uchovu wa siku nzima.
Nina demu wangu ambae tulifahamiana na kuanza mahusiano humu humu JF kwa muda sasa.
Ila kuna tatzo kidogo katika mahusiano yetu. Mpenzi huyu ananilalamikia almost kila siku kwanini simtafuti kwenye simu wala face to face ilhali anajua ugumu na ubusy ninao kuwa nao katika shughuli za kutafuta kipato.
Najitahidi kumtimizia mahitaji yake especially kipesa (tena nampa pesa sana tu) lakini anashindwa kufikiria kuwa nikiacha kufanya kazi na kuendekeza mapenzi nitashindwa kupata pesa nyingi ya kumpendezesha na kumhudumia (hapo pia atalalamika simjali)
Wakuu nisaidieni jinsi ya kumwelewesha maana kila nikimwambia hanielewi. Nimweleweshe vipi?
Sent using Uncesored Device
Code ya jana imefunguka yenyewe ama??ššššau kiki kweli???Hizi zingine kiki sasa, woooi.
[emoji124][emoji124][emoji124]
Mbona umekwepa swali,,,ushakula tunda ili watu walink matukioHili ni wazo zuri sana. Napenda mwanamke mwenye akili za kimaisha kama hivi. Hakika mahusiano yatadumu
Sent using Uncesored Device
Naona mnatuchezea akili mumbwaa nyieee....mamayooo[emoji23][emoji23][emoji119][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji2959][emoji2959]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unauza?Wakuu na uza t-shirt yangu hii hapo nimeivaa siku mbili tu shiling 6000
Aliye serious Ani PM
Au anicheki kwa 0757195104View attachment 1055669
Hahaha huyuu jamaa katupa chai hii bila sukari,..Tena mkituombaga hela, povu linatutoka masaa 25 Mother Confessor
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti hisiaa..?? Huo ni uboyaaaKosa langu ni lipi? JF ni user generated content website. Sasa shida iko wapi mimi kutoa mawazo na hisia zangu?
Sent using Uncesored Device
Hali ngumu ya maisha,pengine.Ngoja nkuulize, ukiachana na sababu ya ubahili, unadhani ni sababu gani nyingine inayofanya sisi wanaume tusipende kuwapa hela wadada tunaowatongoza? Mother Confessor
Ndiyo yule aliyekuwa anatizama stations mbili at a time ? HahaaaHizo raba zinataka zifanane na raba za jamaa flani hivi alikuwa anashangilia ushindi wa Stars.
Naona mnatuchezea akili mumbwaa nyieee....mamayooo[emoji23][emoji23][emoji119][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji2959][emoji2959]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi tena?Naona mnatuchezea akili mumbwaa nyieee....mamayooo[emoji23][emoji23][emoji119][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji2959][emoji2959]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wanaume akili zenu mnazijua wenyewe,.kuna wadada hata shilling 10 mbovu hawawaombi tena mkijua wanajimudu ndio watajuta hata wakiumwa hamuwapi hata pole ya matundaš lol tena mnaweza wageuza vitega uchumi msivyo na haya,.Hatutaki kupendewa hela na wadada tunaowatongoza, ndo maana tukiombwa pesa, povu linatoka Mother Confessor
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata majani ya chai hainaHahaha huyuu jamaa katupa chai hii bila sukari,..
Ina maana hujawahi kutana nao,hata mmoja??Hao wadada wasioomba hata sh 10 mbovu ni wachache mno, kwa sasa nikikutana na mdada ambae atanipa papuchi bila ya kuniomba hela, na baada ya kunipa papuchi hatoniomba hela, namuoa walahi Mother Confessor
Ulijiroga mwenyewe aseeNliwahi kutana na aina hiyo ya wadada (wife material kabisa) tena walikuwa wananipenda toka moyoni, kabla na baada ya kuwagegeda hawakuwahi kuniomba hata senti, na walini-treat vizuri sana..hawakuwa pasua vichwa, ilikuwa miaka mitano au minne iliopita, lkn nikawaacha, sahiv kila mdada ninaemtongoza ni kimeo..sasa sijui mmoja wa wale wadada nliowaacha ameniloga Mother Confessor