Mpenzi analalamika sina muda naye

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,319
Reaction score
4,711
Wakuu poleni na uchovu wa siku nzima.

Nina demu wangu ambae tulifahamiana na kuanza mahusiano kwa muda sasa.

Ila kuna tatzo kidogo katika mahusiano yetu. Mpenzi huyu ananilalamikia almost kila siku kwanini simtafuti kwenye simu wala face to face ilhali anajua ugumu na ubusy ninao kuwa nao katika shughuli za kutafuta kipato.

Najitahidi kumtimizia mahitaji yake especially kipesa (tena nampa pesa sana tu) lakini anashindwa kufikiria kuwa nikiacha kufanya kazi na kuendekeza mapenzi nitashindwa kupata pesa nyingi ya kumpendezesha na kumhudumia (hapo pia atalalamika simjali)

Wakuu nisaidieni jinsi ya kumwelewesha maana kila nikimwambia hanielewi. Nimweleweshe vipi?

Sent using Uncesored Device
 
au ndio yule alieleta uzi jana kuwa upo bize halafu hajakupa bado apple

thanks to god the almighty
Nani huyo? Sijaona uzi huo jana maana sjaingia jf tangu jana asubuhi

Sent using Uncesored Device
 
Naona mnatuchezea akili mumbwaa nyieee....mamayooo[emoji23][emoji23][emoji119][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji2959][emoji2959]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa langu ni lipi? JF ni user generated content website. Sasa shida iko wapi mimi kutoa mawazo na hisia zangu?

Sent using Uncesored Device
 
Hzo hela unazommwagia mkatie kitambulisho cha ujasiriamal auze kandolo nakwambia hutosikia kelele nadham ushajua tatzo vp ushakula tunda ili tuweze kulink matukio

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni wazo zuri sana. Napenda mwanamke mwenye akili za kimaisha kama hivi. Hakika mahusiano yatadumu

Sent using Uncesored Device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…