Mpenzi ameng'ang'ania simu yangu

Ningekuona na kapicha kidooogo ingependeza zaidi!!

Maana sio kwa true love hii uliyonayo....saii nko jobless vile tu nimemaliza chuo kama wewe so pesa ni mjafala mgumu mno!

Demu gan hapendi hela! Sina demu bwana watu wako kimaslahi mno nkadhaniaga wenye mapenz ya kweli walishaiiisha!
 
Aisee pole sana bibie ila we pambana kuna siku utakuja kuwa kama Merinda Gates
 
Hivi dada unashindwaje kumuacha? Mamas boy halaf bado anakuletea mapichapicha.
Huyo mwanaume hafai.. embu tafuta real man mpambanaji.
Kuhusu sim akiishikilia sana mwachie. Pambana nunua yako.. halafu ukate mazoea.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jishushe na mbembeleze sana, usijibizane nae, mana majibizano yatazua kipigo. Hakikisha haongelei simu unapobembeleza mfanye ajisikie unampenda sana. Hatimaye utamsahaulisha na utapata access na cm Yako. Kaz kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndo udhaifu wenu mnafata visharobaro sababu ya kupendeza kwao mnaacha wanaume wanaojua wajibu wao. Pole, tafuta simu ingine renew sim card yako uachane na huyo kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi na nyie wanwake hamnaga akili we huoni hilo vuta bangi fanya maisha yako kamchukulie rb akurudishie sim yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'd ya unajiita Mrs umeolewa au hujaolewa. Be clear vijana wakusidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada Kama ulivyoomba tusikutusi nisingependa nikuumize moyo kwa kuuwekea mkeka wa maneno ya Masemango na kukulaumu

Kwanza Dada yetu embu tambua hadhi ,heshima na nafasi yako Kama Mwanamke usipende kujishusha thamani kwa kutumika na mtu duni ambaye haoni umuhimu wako

Pili Usipende na kumuamini kila mtu kiasi cha kufungasha virago vyako na kwenda kuishi nae hapa Mungu kakuepusha na Mengi imagine ungepata ujauzito maisha yenu yangekuwaje ,imagine angekudhuru au kukutoa roho yako ingekuwaje maana umeonyesha kuwa huwa anakupiga

Tatu Acha uzinifu hifadhi uchi wako usiwe Kama jumba la maonyesho kila mwenye kiingilio anaingia ndani khaaah muombe Mungu akuletee mwanamme aliye serious akuhifadhi

Mwisho

Mambo ya hiyo simu chukulia kama ndio sababu ya kutengana nae Mazima usirudi tena na tena kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…