Hongera sana kwakuwa na mapenzi ya dhati na ya uhalisia uliotukuka, maana niwachache kama wewe iwapo sio creative story..Habari.. Mimi ni binti nilikuwa naishi na mwanaume kienyeji tu toka mwaka 2017 mwezi wa 8. Nilikuwa nasomea ualimu na nilimaliza mwaka Jana December..kifupi mwanaume wangu sio fighter ni wale mama's boy..hana shuguli yoyote anayofanya na tulikua tukiishi kwao na maisha yetu yalikua magumu na ya kubangaiza sana Mara nyingi pesa nilizokuwa napewa kama pocket money na ndugu zangu kwa ajili ya chuo ndio zilikua zikitusave .Nilipomaliza chuo niliamua kuingia mtaani kutafuta ajira yoyote ya kujishikiza maana ajira za ualimu ni za manati..nilibahatika kupata kazi ya receptionist hotel Fulani January, hapo ndio shida ilipoanzia mwenzangu hakitaka kabisa ile kazi akidai ni ya umalaya so nikae mpaka nipate shuleni..Mimi nilimsihi sana nijishikize tu wakati bado naendelea kutuma maombi mashuleni siku nikipata nitaacha hotelini. Niliikazania ile kazi coz maisha yalishakua magumu sana pale nyumbani mpaka wakati mwingine tunalala njaa, mwenzangu alikataa kabisa na alinipiga sana siku hiyo, nikaamua kuondoka kwenda kwa Dada yangu kuishi huku nikiendelea kufanya kazi hotelini..baada ya siku kadhaa tulielewana na mwenzangu na jioni moja nilipotoka kazini nilikwenda kumtembelea na aliniazima cm yangu ya smartphone kuwa ana kazi nayo baada ya siku mbili atanirudishia nikamuachia ile cm..ile cm nilinunuliwa na mdogo wangu wa kike baada ya kupata pesa Fulani..Jamani yule mwanaume baada ya siku kama 4 nikamkumbusha vp simu yangu, aligeuka mbogo akaniambia sahau kuhusu simu hii simu inafidia muda wote uliokaa kwangu..Je jamani nilikosea wapi niambieni na ni haki yeye kuninyang'anya simu? Naombeni mbinu za kuipata simu yangu tafadhali msinitukane
Nataza jambo lako kwa namna hiiHabari.. Mimi ni binti nilikuwa naishi na mwanaume kienyeji tu toka mwaka 2017 mwezi wa 8. Nilikuwa nasomea ualimu na nilimaliza mwaka Jana December..kifupi mwanaume wangu sio fighter ni wale mama's boy..hana shuguli yoyote anayofanya na tulikua tukiishi kwao na maisha yetu yalikua magumu na ya kubangaiza sana Mara nyingi pesa nilizokuwa napewa kama pocket money na ndugu zangu kwa ajili ya chuo ndio zilikua zikitusave .Nilipomaliza chuo niliamua kuingia mtaani kutafuta ajira yoyote ya kujishikiza maana ajira za ualimu ni za manati..nilibahatika kupata kazi ya receptionist hotel Fulani January, hapo ndio shida ilipoanzia mwenzangu hakitaka kabisa ile kazi akidai ni ya umalaya so nikae mpaka nipate shuleni..Mimi nilimsihi sana nijishikize tu wakati bado naendelea kutuma maombi mashuleni siku nikipata nitaacha hotelini. Niliikazania ile kazi coz maisha yalishakua magumu sana pale nyumbani mpaka wakati mwingine tunalala njaa, mwenzangu alikataa kabisa na alinipiga sana siku hiyo, nikaamua kuondoka kwenda kwa Dada yangu kuishi huku nikiendelea kufanya kazi hotelini..baada ya siku kadhaa tulielewana na mwenzangu na jioni moja nilipotoka kazini nilikwenda kumtembelea na aliniazima cm yangu ya smartphone kuwa ana kazi nayo baada ya siku mbili atanirudishia nikamuachia ile cm..ile cm nilinunuliwa na mdogo wangu wa kike baada ya kupata pesa Fulani..Jamani yule mwanaume baada ya siku kama 4 nikamkumbusha vp simu yangu, aligeuka mbogo akaniambia sahau kuhusu simu hii simu inafidia muda wote uliokaa kwangu..Je jamani nilikosea wapi niambieni na ni haki yeye kuninyang'anya simu? Naombeni mbinu za kuipata simu yangu tafadhali msinitukane
Jf sikuhiz ukileta mada watu kabla ya kucoment wanapekua thread zako za nyuma kwanza haahaa......
Ahaa huyu hana shida mkuu? Maana kuna wengine Leo anakuwa mwanamke kesho mwanaumeHuyu Dada anaonesha alikuwa anampenda sana jamaa. Sema jamaa siyo.
Thread za nyuma zinajieleza pia.
Ahaa huyu hana shida mkuu? Maana kuna wengine Leo anakuwa mwanamke kesho mwanaume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo sio Mume dada. Hebu funguka kaa pembeni tafakari. Mwanaume yeyote ambaye anafaa kitwa mume na baba wa familia ni muwajibikaji.. Kama sio mwajibikaji jiulize anafanya nini mpaka saaa yupo nyumbani tu kwa wazazi wake anakutegemea wewe hiyo tu inatosha kumwondoa kwenye kundi la kuwa mume na baba.Habari.. Mimi ni binti nilikuwa naishi na mwanaume kienyeji tu toka mwaka 2017 mwezi wa 8. Nilikuwa nasomea ualimu na nilimaliza mwaka Jana December..kifupi mwanaume wangu sio fighter ni wale mama's boy..hana shuguli yoyote anayofanya na tulikua tukiishi kwao na maisha yetu yalikua magumu na ya kubangaiza sana Mara nyingi pesa nilizokuwa napewa kama pocket money na ndugu zangu kwa ajili ya chuo ndio zilikua zikitusave .Nilipomaliza chuo niliamua kuingia mtaani kutafuta ajira yoyote ya kujishikiza maana ajira za ualimu ni za manati..nilibahatika kupata kazi ya receptionist hotel Fulani January, hapo ndio shida ilipoanzia mwenzangu hakitaka kabisa ile kazi akidai ni ya umalaya so nikae mpaka nipate shuleni..Mimi nilimsihi sana nijishikize tu wakati bado naendelea kutuma maombi mashuleni siku nikipata nitaacha hotelini. Niliikazania ile kazi coz maisha yalishakua magumu sana pale nyumbani mpaka wakati mwingine tunalala njaa, mwenzangu alikataa kabisa na alinipiga sana siku hiyo, nikaamua kuondoka kwenda kwa Dada yangu kuishi huku nikiendelea kufanya kazi hotelini..baada ya siku kadhaa tulielewana na mwenzangu na jioni moja nilipotoka kazini nilikwenda kumtembelea na aliniazima cm yangu ya smartphone kuwa ana kazi nayo baada ya siku mbili atanirudishia nikamuachia ile cm..ile cm nilinunuliwa na mdogo wangu wa kike baada ya kupata pesa Fulani..Jamani yule mwanaume baada ya siku kama 4 nikamkumbusha vp simu yangu, aligeuka mbogo akaniambia sahau kuhusu simu hii simu inafidia muda wote uliokaa kwangu..Je jamani nilikosea wapi niambieni na ni haki yeye kuninyang'anya simu? Naombeni mbinu za kuipata simu yangu tafadhali msinitukane
Wanoanza kwa kupekua thread za mtoa mada wanakosea....Jf sikuhiz ukileta mada watu kabla ya kucoment wanapekua thread zako za nyuma kwanza haahaa......
Ni kweli mkuu wengine tunaponea juu kwa juu kwa namna hiyoWanoanza kwa kupekua thread za mtoa mada wanakosea....
UNAPOANDIKA HUMU, WANAOPATA MSAADA NI WENGI...
Wapo wengi yao hawayaandiki lakini wanapitia kusoma yanayoandikwa na huwa wanafarijika sana kuona WANACHOKIPITIA, KUNA MTU AMEKIOMBEA USHAURI NA KIMEPATA MAJIBU YA MAANA...
Kweli mkuu, nashangaa huku wadau wanatoa conclusion kwa kusikiliza upande mmojaBado hatujamsikiliza mama's boy.Hatuwez kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwanini wanawake wengi mnapenda kuitumia hii sentensi mkishamaliza kutoa lawama zenu. We omba ushauri usitake kujionyesha wewe ni malaika na wewe lazima utakuwa na makosa yako endapo tukisikiliza upande wa pili.Je jamani nilikosea wapi niambieni na ni haki yeye kuninyang'anya simu? Naombeni mbinu za kuipata simu yangu tafadhali msinitukane