Mpenzi amefumania message za mapenzi

Usiwe mvulana jitahid kuruka hio stage haraka kabla corona haijatusumbua.
 
Baki njia kuu ....kama kweli unampenda,unamjali na una malengo nae mazuri mfuate alipo uonane nae muongee ana kwa ana...mambo ya kuomba msamaha kwenye simu yamepitwa na wakati na mtu anaweza kukujibu chochote anachojisikia kwa vile upo mbali nae ...lakin ukiwa nae papo kwa hapo yataisha aiseehh...All wishes bro


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandikie ujumbe wa kumtakia maisha mema huko ktk penzi jipya, na kumshukuru kwa yote. Kisha chuna kama mwezi bila kumpigia wala kutuma msg.
 
Mpaka Corona iishe watoto warudi skul tabu sana humu jukwaani.

Mm niko na uchawi unalamba kimasihara tu tena bila kutoa jasho la kuongea, kazi kwako
 
Kula bati. Mwanaume unalia lia ili iweje? Mlie bati huyo bibie mpaka akutafute yeye

Sent From Galaxy S9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…