Superboy
Member
- Sep 17, 2013
- 45
- 6
Habari za wakati huu, sasaaa Nina rafiki yangu ameniuliza swali lenye uasili wa kuomba ushauri anadai kwamba kuna msichana ameanzishanae uhusiano mwanzoni mwa huu mwaka. Na amegundua msichana huyo ana marafiki wakiume zaidi kuliko wale wakike kama yeye. Na wamepeana masharti ya kutokungonoana mpaka ndoa ifungwe jamaa hakupinga. Lakini amefuma messej za mapenz mara mbili kwa nyakati tofauti akimuuliza anamjibu kuna baadhi ya wanaume huwa wanamtania inaingia hakilini kweli hii? Aliwahi kumwuliza huyo mwanamke kisa cha kuwa na hao marafiki wakiume nasio wakike kama yeye anadai wanawake wenzake wana majungu sana. Sasa nikasema ngoja nilete humu tumsaidie huyu jamaa kabla mda haujaenda sana