Mpenz wangu anajini jaman ,,,,,,,,,,cjui ni mchawii.....?

 
Mpaka hapo ulipofikia umeshahatrisha maisha yako. Unachoweza kufanya mpokee Yesu halafu wakuombee manake na wewe tayari ushakua na jini au majini. Kumbuka majinin huwa hayana mapenzi na binadamu ni makatili sana waweza poteza maisha tena huyo jini maimuna huwa anashirikiana na jini makata sasa kazi kwako.

Kumpokea Yesu ni bure hakuna gharama na maombezi hutolewa bure hivyo usidanganywe kwamba mpaka utoe kitu flani au ..........kataa tafuta waombaji wa kweli.
 

Hayatuhusu.
 
Yesu Kristo hakuja duniani kuhukumu bali kutafuta wale watendao dhambi wapate kuwa huru.
Sasa kama unadhani kuwa huyu ana dhambi basi pia jua kuwa kuna msamaha wa hiyo dhambi...

Hivyo usiwe na shaka juu ya habari hizo...

Hivi nyie mnaosema mshike yesu litaondoka mpo serious? Aliyetoa mada anazini ni dhambi katika biblia; atamshikaje Yesu the same time? Au na nyie ni walokole wa type hii? Mi nakushauri achana nae tafuta mwingine..
 
Hivi nyie mnaosema mshike yesu litaondoka mpo serious? Aliyetoa mada anazini ni dhambi katika biblia; atamshikaje Yesu the same time? Au na nyie ni walokole wa type hii? Mi nakushauri achana nae tafuta mwingine..
yesu alikufa kwj ajili ya wadhamb, na hakuna innocent undr the sun.., nafasi ya kurud kwa yesu bdo anayo. YESU NI JIBU
 
Mkuu Pasco, kama bado hujafika huku tafadhali uje umshauri ndugu yetu.
 
Ukiwa na wasiwasi usifanye jambo lolote sababu we ni binadamu na siyo jini kwa hamuwezi kushindana.
 
Komaa nae mkubwa! Huyo yusuph akimchukua na kakuachia mwili wa huyo demu, wewe ugegede huo mwili uliobaki!
Kama mbwai mbwai tu!
Aiseee jf kuna vituko. daaaa sijui umefikiri nini?

daa jf raha tupu.
 
Uuuiii sipendagi hizo ma superstition ...πŸ˜•πŸ˜•πŸ™„πŸ™πŸ˜±πŸ™πŸ™„
 
Jesus ndo kiboko ya maduwasha hayo. Believe in him, you'll be ok.
 
Kumbe mapenzi sio upofu.......
Sepaaaa huna ubin na maimuna.. Iko siku atataka damu yk usiku itakuwa hekaheka hapo
 
tengeneza Hirizi ya mifupa ya kiti moto.... jini atawasikia tu kwenye bomba hatathubutu kuwasogelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…