Mpenz wangu anajini jaman ,,,,,,,,,,cjui ni mchawii.....?

Endelea nae tu hata wao majin wana hisia na haki ya kupendwa,endelea nae tuu ongeza upendo jamani...
 
achana na mashetani yatakuua mtafute Mungu mbona yupo karibu nasi sana wangeisha kuchukua kuzmu ila bado Mungu kakupa second chance.
 
Hilo nipepo, na ukizubaa utaolewa wewe shauri yako!! mpe Yesu maisha yako!
 
Komaa nae mkubwa! Huyo yusuph akimchukua na kakuachia mwili wa huyo demu, wewe ugegede huo mwili uliobaki!
Kama mbwai mbwai tu!

Mimi nafikiri huyo Yusuph ni choko la kupepea analingoja litulizane akuachie mataani bora anza taratibu.
 
Pamoja na majini atakuwa ni mchawi,anakwenda kuwanga. Sepa fasta hapo hayo madudu hayafai.
 
Hivi nyie mnaosema mshike yesu litaondoka mpo serious? Aliyetoa mada anazini ni dhambi katika biblia; atamshikaje Yesu the same time? Au na nyie ni walokole wa type hii? Mi nakushauri achana nae tafuta mwingine..

Usihukumu mwaya ucje na ww ukaukumiwa,yesu amekuja kuokoa wenye dhambi akiwemo huyo mzinzi! So kikubwa akubali kuokoka na asilete mzaha aombewe na awe na iman hayo mavitu yatamtoka!na wala hayatamsumbua
 
Cha msingi mrudie mungu,thats it usifanye dhambi juu ya dhambi.
 
Kuna dini huwa ina amini kuwa mashetani...sorry majini ni sehemu ya viumbe wa dunia hii na hawana shida kiviiile ! Subiri watakuja sasa hivi kukusaidia ila umeniogopesha sijui kama nitalala leo!
 
ww acha ujinga
km upo dar n pm nikupeleke kanisani ww tena ht leo au nikuelekeze uende mwenyewe utaniambua km litabaki jini hapo
na hyo mwanamke piga chini tena shukru hawajakupeleka kuzim ww

usiogope tumepewa jina 1 tu Yesu
 
ww acha ujinga
km upo dar n pm nikupeleke kanisani ww tena ht leo au nikuelekeze uende mwenyewe utaniambua km litabaki jini hapo
na hyo mwanamke piga chini tena shukru hawajakupeleka kuzim ww

usiogope tumepewa jina 1 tu Yesu

Nawe unasali hapo?
nielekeze nami, japo ukinipeleka itakuwa vema.
Nataka kuanza '14 vema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…