Mpende mtoto wako

Mpende mtoto wako

mummylicious

Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
9
Reaction score
3
Tunaandaa party ya watoto wadogo na wakubwa,itafanyika DFI.kutakua na michezo mbalimbali kwaajili yao.

Maelezo zaidi piga 0674842476
 
jaman,tarehe 12/9/ ,pale DFI karbu na kunduchi,kutakua na ka party ka watoto wa umri wote,kuna swimming pool ya size ya watoto wote mpaka miaka 2,kuna michezo ya umeme,bembea na creative games,pia icecream itakua bure cku hyo kwa watakao wai ..fanya mlete mwanao aenjoy pesa ya mzazi wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom