ashishi vidyat
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 207
- 286
Hatari sanaPoleee yake.
Duh gari si litawaka kbsKama upo naye karibu muongezee tungi hadi awe chizifresh.
Wamwera wapi hao tupo nao huku kwao kusini mbona hawana maajabu yoyote...na vijora vyao vichafu chafu tuHiki ni kisa chenye mafundisho makubwa sana kwetu sisi wanaume
Kuna rafiki yangu mmoja hivi alikuwa na mkewe mzuri tu na mungu aliwajalia watoto na kipato chao kilikuwa cha kati
Sasa kama unavyojua sisi wanaume tunapopita mitaani macho kodo kudele warembo
Basi katika pita pita za mitaani jamaa akanasa kwenye penzi matata sana la mtoto wa kimwera kama unavyowajua wamwera hawanaga kazi mbovu show show ukiwa bwege unaisahau familia
Basi jamaa akazama mazima kwenye penzi la mtoto wa kimwera ikawa siku anarudi nyumbani siku harudi
Mapenzi nyumbani yakapungua na furaha ikatoweka
Mkewe akawa mtu wa mawazo sana na kujiuliza ni nini kilichompata mumewe
Mara siku sio nyingi mke akaanza kuumwa na mume ndio kabisa akapata chance ya kuwa anaenda kabisa kwa mchepuko wake wa kimwera pasipo kuijali afya ya mkewe
Siku moja jamaa akatoka safari ya kwa mchepuko wake kufika kule mchepuko wake wa kimwera haupo jamaa kulizia akambiwa ameenda ruvuma kufuata samaki
Jamaa kwa kuwa alishazama kwenye penzi la mmwera wivu ukamshika nae akafunga safari kumfuata mchepuko wake ruvuma
Jamaa alivyotoka tu huku nyuma mkewe ugonjwa ukamzidia wasamalia wema wakampeleka hospital mumewe akipigiwa simu muda wote haipatikani
Haikupita muda mke anafariki
Jamaa akipigiwa simu bado haipatikani
Ndugu wakachukua mwili wa ndugu yao wakaufanyia mazishi pasipo mume kuwepo wala kujua
Bc mazishi yalipopita siku sio nyingi mumewe akarudi kufika wanapoishi kila mtu anamuangalia yy kwa macho mabaya ndipo wazee wakamueka chini kumuhoji na kumpa tarifa za msiba wa mkewe jamaa akanza kulia na wengn weny hasira wakataka kumpiga
Jamaa ikawa kwake hakukaliki akaona isiwe tabu kwa kupata faraja wapi ni kwa mchepuko wake kufika kule anambiwa mchepuko ushapanda maning nice upo dar kwa mumewe penzi limerudi upya
Jamaa akapagawa siku kawa mtu wa Tungi
Tuwaheshimu sana wake zetu
Vijora vichafu ila show zao za hatariWamwera wapi hao tupo nao huku kwao kusini mbona hawana maajabu yoyote...na vijora vyao vichafu chafu tu
Ndiyo akome na kuukataa ufala na mizizi yake.Jinga hilo.Linasahau hadi Mai waifu wake?Duh gari si litawaka kbs
Mapenzi ukichaa ila mwamba alizidiNdiyo akome na kuukataa ufala na mizizi yake.Jinga hilo.Linasahau hadi Mai waifu wake?
Wangelikung'unta viboko vingi sana vya shingoni hadi akili imkae sawa bin sawia.Nyumbani huwa hatuharibu pamoja na ujinga wote.Mapenzi ukichaa ila mwamba alizidi
Hajajiua huyu jamaa yako?Hiki ni kisa chenye mafundisho makubwa sana kwetu sisi wanaume
Kuna rafiki yangu mmoja hivi alikuwa na mkewe mzuri tu na mungu aliwajalia watoto na kipato chao kilikuwa cha kati
Sasa kama unavyojua sisi wanaume tunapopita mitaani macho kodo kudele warembo
Basi katika pita pita za mitaani jamaa akanasa kwenye penzi matata sana la mtoto wa kimwera kama unavyowajua wamwera hawanaga kazi mbovu show show ukiwa bwege unaisahau familia
Basi jamaa akazama mazima kwenye penzi la mtoto wa kimwera ikawa siku anarudi nyumbani siku harudi
Mapenzi nyumbani yakapungua na furaha ikatoweka
Mkewe akawa mtu wa mawazo sana na kujiuliza ni nini kilichompata mumewe
Mara siku sio nyingi mke akaanza kuumwa na mume ndio kabisa akapata chance ya kuwa anaenda kabisa kwa mchepuko wake wa kimwera pasipo kuijali afya ya mkewe
Siku moja jamaa akatoka safari ya kwa mchepuko wake kufika kule mchepuko wake wa kimwera haupo jamaa kulizia akambiwa ameenda ruvuma kufuata samaki
Jamaa kwa kuwa alishazama kwenye penzi la mmwera wivu ukamshika nae akafunga safari kumfuata mchepuko wake ruvuma
Jamaa alivyotoka tu huku nyuma mkewe ugonjwa ukamzidia wasamalia wema wakampeleka hospital mumewe akipigiwa simu muda wote haipatikani
Haikupita muda mke anafariki
Jamaa akipigiwa simu bado haipatikani
Ndugu wakachukua mwili wa ndugu yao wakaufanyia mazishi pasipo mume kuwepo wala kujua
Bc mazishi yalipopita siku sio nyingi mumewe akarudi kufika wanapoishi kila mtu anamuangalia yy kwa macho mabaya ndipo wazee wakamueka chini kumuhoji na kumpa tarifa za msiba wa mkewe jamaa akanza kulia na wengn weny hasira wakataka kumpiga
Jamaa ikawa kwake hakukaliki akaona isiwe tabu kwa kupata faraja wapi ni kwa mchepuko wake kufika kule anambiwa mchepuko ushapanda maning nice upo dar kwa mumewe penzi limerudi upya
Jamaa akapagawa siku kawa mtu wa Tungi
Tuwaheshimu sana wake zetu
Noumaaaa!!Hatari sana
Amekuwa mlevi kupitilizaHajajiua huyu jamaa yako?
Kuna mapenzi na dawa zipo jmnWangelikung'unta viboko vingi sana vya shingoni hadi akili imkae sawa bin sawia.Nyumbani huwa hatuharibu pamoja na ujinga wote.
wa mkoa upi?la mtoto wa kimwera kama unavyowajua wamwera
Lindi wilaya ya ruangwa iyooowa mkoa upi?
Alete lipa namba tumuongezee jibapa...Amekuwa mlevi kupitiliza
Itakuwa mauaji ya kimbari hayooooAlete lipa namba tumuongezee jibapa...